Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania kwa kulaumu Nape ni waziri wa utamadyni na wasanii mlitaka asiende aende nani?
Keshokutwa ataenda kuzindua Supu ya Gigy Money.Wasimsahau gigy money
Nareserve comments zaku kwenye hili mkuu!
Wasimsahau gigy money
utaona ya NapeUkishangaa ya Musa utaona ya .............
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji41]
Tanzania yangu eeh!
taifa sasa limeangukia ktk mikono ya ibirisi
ndo maana serikali inalewa sana
wanao sambaza picha za uchi mitandaon wanatukuzwa
wanao ikosoa serikali mitandaon wanafungwa
EE MUNGU futilia mbali utawala wa shetani ili kunusuru vizazi vyetu AMINAA
Kuna vijana wanadevelop app za maana hawapewi support bali mambo za kiduanzi wanazipa shavu sana
Nasikia maandalizi ya kumtengenezea sanamu yameiva..
Bora angefungua App itakayo toa habari zote kama millardAyo
ila eti habari zake!!!! habari gani sasa??!
ndo mtu uache bunge kisa wema sepetu App ,si bure kuna namna..[emoji23]
Hii ndio Tanzania, moja ya nchi maskini sana duniani.Kwani kipimo cha IQ ni aghali sana kama kile cha CT-Scan!? I guess tunavihitaji hapa nchini kwetu.
Hii nchi ililogwa! Hivi kweli watu na akili zao oops hawa wasio na akili zao akili za kuazima wanafanya hili jambo? bombshell la KISS product litalipuka karibuni. Brand YA USA wenye nayo sijui atawalipa nini? Hii ni rubish kabisa. Waziri mzima eti unaenda kufanya uzinduzi ya umala&$&$&& Yesu utarudi lini?Hii nchi ina vituko sana.
Waziri anakataa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo kisheria ili akahudhurie halfa ya Wema Sepetu kuzindua application yake ya kupost ishu zake za udaku.
Mungu komboa hii nchi.