Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Hv Nape ana mke? Nawaza tu kwa sauti kuna vitu ambavyo mm km mke siwez kumruhusu Mr kufanya..alimwambia kbs naenda kuzindua App ya Wema,kabisa? Basi sawa
 
Huyu waziri nae simsomi hata kdogo ndo nini sasa hii badala yakutopa bunge live anazndua mambo yasio na kchwa wala miguu
 
Huyu waziri kweli? Nijiunge kupata habari za Wema zinisaidie nini? Dada buni vitu vya maana maana hii wala sio habari.
 
Tanzania yangu eeh!

taifa sasa limeangukia ktk mikono ya ibirisi
ndo maana serikali inalewa sana
wanao sambaza picha za uchi mitandaon wanatukuzwa
wanao ikosoa serikali mitandaon wanafungwa
EE MUNGU futilia mbali utawala wa shetani ili kunusuru vizazi vyetu AMINAA

Kuna vijana wanadevelop app za maana hawapewi support bali mambo za kiduanzi wanazipa shavu sana

Nasikia maandalizi ya kumtengenezea sanamu yameiva..

Bora angefungua App itakayo toa habari zote kama millardAyo
ila eti habari zake!!!! habari gani sasa??!
ndo mtu uache bunge kisa wema sepetu App ,si bure kuna namna..[emoji23]

Kwani kipimo cha IQ ni aghali sana kama kile cha CT-Scan!? I guess tunavihitaji hapa nchini kwetu.
Hii ndio Tanzania, moja ya nchi maskini sana duniani.
 
U Team fulani Umeingia mpaka wizarani, hii ni hatari sana. ....

Hivi hiyo application ya Wema itatupa pia habari zote za Sukari?
Lini maisha ya sukari yatakuwa normal?
 
Hii nchi ina vituko sana.

Waziri anakataa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo kisheria ili akahudhurie halfa ya Wema Sepetu kuzindua application yake ya kupost ishu zake za udaku.

Mungu komboa hii nchi.
Hii nchi ililogwa! Hivi kweli watu na akili zao oops hawa wasio na akili zao akili za kuazima wanafanya hili jambo? bombshell la KISS product litalipuka karibuni. Brand YA USA wenye nayo sijui atawalipa nini? Hii ni rubish kabisa. Waziri mzima eti unaenda kufanya uzinduzi ya umala&$&$&& Yesu utarudi lini?
 
Back
Top Bottom