Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema aliahidi lowasa hawezi kuwa rais ikatimia.
Ndio maana BAVICHA wanatokwa povu
Wamekosoa ila hawajakataa uanzishwaji na uwepo wake. You don't have to worry boss. Je, ilikuwa ni muhimu saana hadi huyo ndugu aahirishe shughuli za kuwawakilisha walio wengi kwa ajili ya masuala ya mtu binafsi? Usijibu (nakuomba) ila tafakari boss!
Ha ha nimerudiumepotea gaflaaaaaa
HahahWamekosoa ila hawajakataa uanzishwaji na uwepo wake. You don't have to worry boss. Je, ilikuwa ni muhimu saana hadi huyo ndugu aahirishe shughuli za kuwawakilisha walio wengi kwa ajili ya masuala ya mtu binafsi? Usijibu (nakuomba) ila tafakari boss!
well said sijui kwaniniHii ndio nchi ya viwanda mawaziri tena Waziri kamili anaenda kuzindua app ya wema! Kuna vijana wanadevelop app za kutatua matatizo ya wananchi ya kila siku na nyingine za kutatua umaskini wetu lakini wanakuja kupewa promo watu na app za kipuuzi. Tanzania haiwezi kupiga hatua kwa kuwa na mawaziri wa aina hii
Nikianza kilio cha '' hamasa '' watu watasema nadeka. Mwanazuoni Jenerali Ulimwenguni (2005)aliwahi andika.... '' kitu kikikufurahisha au kukununisha lazima uoneshe muitikio wa aidha, kucheka, kununa au kuzubaa.. '' Rai la Enzi zile.Hahah
well said sijui kwanini
Nadhani hii ndo best comment concerning this topic.. Huwezi kuisemea zaidi..Nchi zenye low expectations wakati mwingine huwa zinashangaza pia..
Mmmh ..ina mchango gani kwa Taifaa?
Yalizuka madai ati ni la kichina.. Na picha zikatupiwa kabisa katika kutetea hoja.. Sijui kama ni kweli au laa..