Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema.

Aliyasema hayo alipokuwa amehudhuria hafla hiyo aliyodai amehairisha kuhudhuria vikao vya bunge ili asiikose, pia amesema serikali itamsaidia na kumtangaza.

Nchi hii Mungu anajua!
 
Ukiona jamii ambayo habari za Udaku ndio habari muhimu basi jua hiyo jamii Ujinga unaongezeka badala ya kupungua. Hatukatai wajinga lazima wawepo ila sio kwa kiwango cha kuwapita werevu.
Si vibaya kusoma habari nyepesi endapo tu wepesi wake unaleta matokeo chanya katika jamii.
Kama kweli hayo anayoyataja nape ndio mafanikio ya Taifa basi ni wazi TUNA UHABA MKUBWA WA MAFANIKIO.
 
Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema.

Aliyasema hayo alipokuwa amehudhuria hafla hiyo aliyodai amehairisha kuhudhuria vikao vya bunge ili asiikose, pia amesema serikali itamsaidia na kumtangaza.

Amemsahau Snura [emoji15]
 
Hapo kinachouma zaidi ukute na posho ya makalio amelamba, dah dunia haiko fair kwa kweli. Ngoja tu nijiliwaze na kikombe cha kahawa na kashata uwenda nikasikia breaking news kutoka magogoni. Hii serikali ni ya leo sio ya jana.
 
kwa Nape sishangai ila angeongea jambo la msingi ndio ningeshangaa kadesa wapi huyu tutasikia na kuona mengi kutoka kwake ya ajabu ajabu na hapo ana washauri angekua hana sijui ingekuaje.
 
Yaani umeghairi kwenda bungeni ili ukashiriki kwenye uzinduzi wa app ambayo inaelezeaa maisha yamtu tuu can't believe this is still a leader hapa magu ajicheki tena maana hawamawaziri wake hamnazo sasa app ya kuonesha lifestyle fake yamtu itasaidia nn watanzania
 
Back
Top Bottom