Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Lkn ukute walio wabaya ni wachache,labda wengi wao ni wazuri.Uzi kama huu ulifutwa baada ya watu hasa mm kufunguka kuhusu masaibu ya baadhi ya hawa watu,naona umeuleta kivingine ila sitachangia chochote kwa kwa sababu huwa nikisikia au kuona jambo lolote kuhusu hawa watu najisikia vibaya sana kwa niliyotendwa.
Pale kwenye mbuyuuu.....kipindi hiyo kunalilee bweni la watukutu liko karibu na mbuyuuu,kipindi hicho kina lodyisse wanako akiwa anasoma hapoKwa mama kibena pale haahaahaa na kina neema
Ereee hoaaaa avae!nethina mgayo avaeKanali Ambiere. Jedi Jahako
Huyo mungu ,ni yupi?.Nijuavyo mimi tunayemwabudu na kumuomba ni Mungu au MUNGU.Baadhi ya wanawake wa kipare ni warembo hasa lakini tabia zao mungu anisamehe.
Kwani nimeandika tofauti na ulivyoandika?Huyo mungu ,ni yupi?.Nijuavyo mimi tunayemwabudu na kumuomba ni Mungu au MUNGU.
Shukuru hata umepewa Makande,beba Mke wako sepa mkaanze Maisha halisi ya Ndoa!!Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA will iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Nshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
Acha uduanzi beba mke sepa ukamlee kwa maadili yako, same makande ni Kama pilau pwani.Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA will iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Nshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
Mkuu iweje nitoe 2m nilishwe Makande na Azam Cola?. Nataka maelezo ya kutosha vinginevyo huyu binti Yao atashuhudia Vumbi tuAcha uduanzi beba mke sepa ukamlee kwa maadili yako, same makande ni Kama pilau pwani.
Nimekupongeza umepata mke kutoka masandare elewa huyu ni chuma kweli hata siku hunahela mnaweza kula ugali na maji kapambane mtengeneze maisha yenu hayo ulioyaona ndio maisha aliyokulia
Makande ndio chakula cha heshima kwenye huo mji. Hawajakulisha kwa sababu ni bei nafuu bali ni heshima mgeni kula makande na wewe umeheshimiwa maana umemchukua mtoto waoMkuu iweje nitoe 2m nilishwe Makande
Muite CAGMkuu iweje nitoe 2m nilishwe Makande na Azam Cola?. Nataka maelezo ya kutosha.
Imebidi niwapeleke niliokuja nao toka Dar pale Same mjini angalau wale chakula Cha maana na vinywaji. Aisee upareni MajangaMakande ndio chakula cha heshima kwenye huo mji. Hawajakulisha kwa sababu ni bei nafuu bali ni heshima mgeni kula makande na wewe umeheshimiwa maana umemchukua mtoto wao
Jiandae kuachika in twenty years to come. Hawa kaagi na ndugu za mwanamke, hawapendi wakwe zao. Bahili balaaNimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.