Mie wapare ni ndugu zangu kabisa na nimekaa huko, so nawajua tabia zao...ingawa kuna wengine safi sana yaani ukiambia huyu mpare una kataa.Nikiwemo mimi, demu wa kipare tu simtaki achilia mke! Wa kwanza from Himo alinifanya vibaya mno.
Wa pili from Ugweno alianza kuwa controlling nikakimbia chap, sikutaka shida wala.πππ
Kuhusu Warombo ni sawa, huwa wengi ni loyal wives and ride or die! Hapo sibishi.
Hahah safi, ndio maana nasema tabia haihusiani na asili ya mtu bali malezi. Ni ngumu ku generalize.Mie wapare ni ndugu zangu kabisa na nimekaa huko, so nawajua tabia zao...ingawa kuna wengine safi sana yaani ukiambia huyu mpare una kataa.
Hata huelewi, huenda hata hujui. Nabishana vipi na wewe!!Wapare wa mwanga wana tabia kama za kichagga, wapare wa same ndio wanalengwa kwenye mada hii.
Mkuu wewe una muda wa kubishana? hapa tunaeleweshana tuu...wapuuzi ndio huwa wanabishana.Hata huelewi, huenda hata hujui. Nabishana vipi na wewe!!
Hembu nieleze pare ya wapi same inasifika kwa uchawi na ushirikina! Maana tusiongee bila ushahidi, kuhusu uhuni na umalaya wa wapare, hiyo kwa sasa huwezi ku single out kabila, imekuwa ni tabia ya jamii nzima.Mkuu wewe una muda wa kubishana? hapa tunaeleweshana tuu...wapuuzi ndio huwa wanabishana.
Kuhusu jibu nililolitoa hapo nimelitoa kwa ujumla sijataka kuingia ndani kuelezea sana.
Kabisa. Anataka kutuambia wahaya hakuna Malaya? Wazaramo!? Wadigo?Hembu nieleze pare ya wapi same inasifika kwa uchawi na ushirikina! Maana tusiongee bila ushahidi, kuhusu uhuni na umalaya wa wapare, hiyo kwa sasa huwezi ku single out kabila, imekuwa ni tabia ya jamii nzima.
Huko Mwembe baradhani kuna magwiji, ni same hiyo...ila hapa hoja yangu ilikua inahusu wadada wa kipare kupenda chini.Hembu nieleze pare ya wapi same inasifika kwa uchawi na ushirikina! Maana tusiongee bila ushahidi, kuhusu uhuni na umalaya wa wapare, hiyo kwa sasa huwezi ku single out kabila, imekuwa ni tabia ya jamii nzima.
Niambie wadada wa kabila gani hawapendi chini, hizi hoja za ku generalize mambo sijui huwa mnazitoa wapi wakuu. Kupenda chini haina kabila kwa sasa, sio wanaume au wanawake kwa kiasi kikubwa watu wa sasa wanaendekeza umalaya.Huko Mwembe baradhani kuna magwiji, ni same hiyo...ila hapa hoja yangu ilikua inahusu wadada wa kipare kupenda chini.
Wewe hauwezi jua mapungufu ya dada zako kaa utulie, mie mwenyewe mapungufu ya dada zangu siya fahamu.Niambie wadada wa kabila gani hawapendi chini, hizi hoja za ku generalize mambo sijui huwa mnazitoa wapi wakuu. Kupenda chini haina kabila kwa sasa, sio wanaume au wanawake kwa kiasi kikubwa watu wa sasa wanaendekeza umalaya.
Kwa hiyo unataka kusema wapare hawatulii katika ndoa zao?
Kwa hiyo huko kwingine mikoa na wilaya zingine hakuna magwiji wa ulozi? Mkuu hembu funguka akili kidogo, huwezi kufanya hasty generalisation bila kuweka facts mezani.Huko Mwembe baradhani kuna magwiji, ni same hiyo...ila hapa hoja yangu ilikua inahusu wadada wa kipare kupenda chini.
Mbona povu limezidi bi. Tabu?πππ!!!
Ukizungumzia umalaya kabila zote ni malaya tu usijitie utakatifu sababu kwa rate ya wauza kouma waliopo barabarani huenda wa kabila lako wakawa wengi kuzidi hata wapare.
Sasa nayo familia uliooa.. inahusudu kande Hadi kutaka kumwaga radhi... Khaaaaa HUU ULOHO WAKANDE HUUUkweni wameomba radhi kwa kilichotokea Jana wanadai mjomba Rajabu ndo alilazimisha papikwe Makande badala ya pilau, vinginevyo angevua nguo hadharani
Mpendane kweli kweli...wabaya waulizaneNampenda Vero wangu
kuna tabia ambazo ni common.
Na kuna utani wa kimakabila.ssasa hawa mambo ya utani wa makabila wanayachukulia kuwa ndio tabia za makabila
Wataachana tuMpendane kweli kweli...wabaya waulizane
Wewe Ni mtu hasi umetawaliwa na negativity TU.Ushapotea njia wewe