Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Ila mbona wachaga ndio wanaongozwa kwa kuolewa?

Hizi data zako ni za kipumbavu.
Nenda kwenye page za insta za ma MC kaangalie wanaoolewa.

Data zako zingekuwa ni za kweli wangeolewa wamakonde tu kabila lako
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Husitusumbue, sasa unatuambia ili iweje sheikh?
 
Wewe hauwezi jua mapungufu ya dada zako kaa utulie, mie mwenyewe mapungufu ya dada zangu siya fahamu.
Wadada wa kipare wakisikia fulani anapiga mashine sana, wanataka wajaribu wahakikishe....sasa uhuni hawawezi kufanya mbele yenu baadhi yao.
Wacha porojo
 
sasa warombo ni wapare?
Inawezekana tunaelewesha watu ambao hawajui wapare wanatokea wapi.
Anajua labda wanatokea karagwe au kisimundu
 
Naunga mkono hoja hawa warombo kiukweli wapo powa sana uwezi fananisha na wengine wana staa kidogo kwenye ndoa
 
sasa warombo ni wapare?
Inawezekana tunaelewesha watu ambao hawajui wapare wanatokea wapi.
Anajua labda wanatokea karagwe au kisimundu
Ahahahah we jamaa umeona mchango huo tuu basi.
Dada zako wana tabia kama ya Mange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…