Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Kusimama kiuanaume maana yake nini?,Kutoa mahitaji ya ndani?,Kumudu mchezo wa 6×6?.
maana yake sahihi sio kama kutoa mahitaji tu bali maana halisi ya kuwa kama mwanaume ni kuwa na maamuzi yasiyo pinda pinda kutoonyesha kufeli feli pale matatizo yanapokumba familia au wewe na mwenza, kuweka attention wife akusikilize hapa inataka mtu mwenye utulivu wa akili isiyokurupuka, hiyo ya kumudu 6x6 ni sawa na ni moja ya wajibu unaotakiwa kufanya kama starehe na kuondoa upweke.
 
Asante sana mkuu
 
Unaenda kuoa unatuma jamii forum unaomba ushauri.... Nikushauri tu ulichokifanya unafanya Ni furahisha genge........Kama unao kaa na naye Kama yupo...
 
Attachments

  • umbeamtam.og_20200614_203934_0.jpg
    umbeamtam.og_20200614_203934_0.jpg
    34.5 KB · Views: 8
Weka namba ya mchango wa harusi tuchange. Maana Dada zetu Wapare kuolewa kwa nadra sana. Kila harusi utasikia muolewaji Mchaga why? Mamlaka ziingilie hili suala. Haiwezekani ukitembelea kumbi zote kubwa jijini bi harusi Mchaga.
Wachaga ni watu wa kusaka fursa kwa lazima tofauti na makabila mengine ambao hawatumii maguvu mengi ila husubiria wakati ufike
 
Kuwa na tabia zozote za kishetani hakuhalalishwi kwa kuwa kuna wengine wanafanya. Kila anayefanya hayo ni shetani. Na hata kama wanafanya wengi, haimpunguzii maumivu muhanga. Wapare ndivyo walivyo na wanajulilkana hasa. Huwezi kuhalaisha uchawi eti kwa kuwa wachawi ni wengi. Nonsense!.
Umeongea kwa point za kiwakili sana.
 
Kiufupi mie katika makabila yoote ya kanda ya kaskazini (wachaga, wapare, wameru, wamaasai, wamburu, wairaq,)...ni kabila moja tu ndo naweza shauri mtu akaoe huko nao ni wamaasai pekee.....hawa watu nimeishi nao sana na wanawake wa kimaasai wana mapenzi ya dhati yasiyoangalia mali anazomiliki mwanaume na ni wavumilivu sana katika ndoa.
Ukimpata msichana wa kimaasai mkapendana wewe mwenyewe utaenjoy....sio hizo mbwa za hayo makabila mengine!!!
Kiufupi nimeishi kaskazini miaka takribani 17...hivyo nawafahamu fika watu wa huko. Wanawake wa kaskazini ni Malaya sana and they date and fuuck for money. Ukiwa na pesa mambo yataenda vizuri ila ukifirisika hakuna rangi utaacha ona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakusapoti kweli wewe ni mzoefu wa kaskazini hata mimi nimeishi kule na nimeyaona kweli hayo uliyoyasema.
Wanawake wa kule huwa hawaheshimu wala kuchukulia uzito ishu ya ndoa.
Mwanamke wa kule akiitwa sehemu na kuambiwa kuna pesa atakuja mbio mbio bila kujali kwamba ameolewa au hajaolewa muda huo mme anawekwa pembeni.
Na kingine tena katika hao wanawake uliowataja hao wapare na wambulu wana hulka tu ya kupenda kutombwa hata bila kupewa pesa wenyewe wanasikia raha tu.
Ukija upande wa wachaga hao ni pesa mbele yaani umalaya wao wanaufanya kwa malengo.
Yaani ukishamtongoza kabla hajakukubalia ataanza kukuchunguza kwanza uwezo wako wa kipesa akishakuona una nguvu ya kipesa ndipo atakukubalia.
Na akishakukubalia tegemea mizinga mikubwa ya pesa anaweza kukwambia nikwambie kitu baby kuna biashara naifanya mahali nimepungukiwa laki 5 naomba niongezee nipeleke kwenye biashara yangu na kingine tena mkishaanza kudate lazima atalazimisha apajue kwako na ukimpeleka kwako anaanza kufanya utafiti wa kimyakimya kama hakuna mwanamke mwingine anayekuja.
Na kama akiona unapoishi pako smart na pamejitosheleza anaanza kuandaa mazingira ikiwezekana ahamie kabisa na ukibugi ukamtia mimba automatically ameshakuwa mke wako.
Wamasai ni watu wako very humble nawapenda sana.
Wameru siwafahamu vizuri ila nafikiri hawatofautiani sana na wachaga japo wenyewe nimesikia ni wajeuri na wababe.
 
Kuna ubaya gani mtu akiweka pesa Mbele kabla ya penzi? We ulitaka bure?
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli
Hongera mkuu usitishike na maneno ya watu, muhimu umpende na kumheshimu hakikisha unampiga ukuni kisawasawa usimuonee huruma.
 
Back
Top Bottom