Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Huo ndio ukweli yaani sio yale mataputapu mpaka unatafuta na tochi hizo pisi huwaga mnato sana na no fungus wengine mipaja imebananaaaaaaa full weusi utadhani ngozi ya goti aaaghhhhhh na smell pia linakuwepo, ila hizo za kuona upande wa pili
 
Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi.

Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama😊.

Wewe pia unavutiwa?

Mpeleke gym mkuu, wapo wataalamu wa kuweka hii👆👆
 
The world of superficiality mindset !
The world of adulterers and fornicators. Mawazo ya uzinzi na uasherati yamewajaa ndiyo maana mnatamani tamani hovyo.

Leo utakutana na msichana mwenye thigh gap utamtamani, kesho utakutana na mwenye dimples utamtamani, kesho kutwa utakutana na mwenye lips pana utamtamani, mwingine utakutana naye ana umbo la hourglass utamtamani, mwenye macho makubwa ya mviringo utamtamani, mwenye macho ya kusinzia utamtamani........

Bahati mbaya sana huwezi ukampata mwenye kila sifa, utampata ana sifa hii lakini nyingine hana. Sasa utatamani wangapi? Utatamani mpaka lini?

Iko hivi,
Ukitaka kufurahia maisha yako basi mpende mtu kwa sababu mnaelewana na siyo sababu ya muonekano wake.
Wanaume tusamehewe!

Nanukuu, " mwanamme huwa anapenda vipandevipande kwa mwanamke".

Mh. Anna Mgwila, Aliyekuwa RC K'njaro!
 
Kuna mmoja yuko pale ushirika tower hakika hutajuta ukimuona..
Njoo pm nikuelekeze..
 
Back
Top Bottom