Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Ninakushukuru Mkuu kwa matamanio hayo. Tunayathamini sana. Mkuu kama una mchango wowote katika mada hiyo usisite kutushirikisha.
Hapana sina mchango wala matamanio yoyote🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi.

Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama[emoji4].

Wewe pia unavutiwa?

Wa kihivyo wanakuwaga na pango la amboni hatari
 
Je akiwa na huo uwazi dada yako unajisikiaje? Yaani wewe umeangalia kitu kimoja tu! Sijui kama mwili wote ungekuwa sikio kichwa kingekuwa wapi.
Daah. Sasa dada hapo amekujaje mkuu? Kwa hiyo unataka asiwe na uhuru wa kuchagua kitu akipendacho kwa mwanamke kisa dada yake anacho?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi.

Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama[emoji4].

Wewe pia unavutiwa?

Wewe na Mimi wote tunaumwa huu ugonjwa aisee.Nilifikiri Niko peke yangu.
 
Hicho wengine tunaita Kipago....si utani hata mm huwa nawapenda wadada wenye maumbo vipango.
 
sisi tuliooa mapema kazi tunayo, kumbe kuna vijigape hku

ibilisi ashindwe asee
 
Back
Top Bottom