Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

The world of superficiality mindset !
The world of adulterers and fornicators. Mawazo ya uzinzi na uasherati yamewajaa ndiyo maana mnatamani tamani hovyo.

Leo utakutana na msichana mwenye thigh gap utamtamani, kesho utakutana na mwenye dimples utamtamani, kesho kutwa utakutana na mwenye lips pana utamtamani, mwingine utakutana naye ana umbo la hourglass utamtamani, mwenye macho makubwa ya mviringo utamtamani, mwenye macho ya kusinzia utamtamani........

Bahati mbaya sana huwezi ukampata mwenye kila sifa, utampata ana sifa hii lakini nyingine hana. Sasa utatamani wangapi? Utatamani mpaka lini?

Iko hivi,
Ukitaka kufurahia maisha yako basi mpende mtu kwa sababu mnaelewana na siyo sababu ya muonekano wake.
 
Mwenye masikio na asikiee
 
Pamoja na yooote hayo wanawake weusi wenye shape za kibantu hawajawahi kuchuja na wala kuwa defeated pahala popote.
 
Je akiwa na huo uwazi dada yako unajisikiaje? Yaani wewe umeangalia kitu kimoja tu! Sijui kama mwili wote ungekuwa sikio kichwa kingekuwa wapi.
 
Wewe muongo, vinginevyo huyo baby mama angekuwa hiyo thigh gap
 
Akiwa hivi, "naniliu" inakuwa wazi ('imeachama') muda wote, ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…