Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Binafs
Sipendi izo thigh gap KABISA.

Asilimia kubwa hawanaga joto hao.

Napenda ibanwe banwe na mapaja afu ivimbe kwa mbele Kama hivi kwa cardi B[emoji116]
images-150.jpg
 
Me ni mpita njia tu😏
The world of superficiality mindset !
The world of adulterers and fornicators. Mawazo ya uzinzi na uasherati yamewajaa ndiyo maana mnatamani tamani hovyo.

Leo utakutana na msichana mwenye thigh gap utamtamani, kesho utakutana na mwenye dimples utamtamani, kesho kutwa utakutana na mwenye lips pana utamtamani, mwingine utakutana naye ana umbo la hourglass utamtamani, mwenye macho makubwa ya mviringo utamtamani, mwenye macho ya kusinzia utamtamani........

Bahati mbaya sana huwezi ukampata mwenye kila sifa, utampata ana sifa hii lakini nyingine hana. Sasa utatamani wangapi? Utatamani mpaka lini?

Iko hivi,
Ukitaka kufurahia maisha yako basi mpende mtu kwa sababu mnaelewana na siyo sababu ya muonekano wake
 
Back
Top Bottom