Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Inaitwa intergluteal cleft.. mara nyingi huwa wanazo wanawake wembamba.

Mimi pia ni ugonjwa wangu huo japo hauzidi ule wa dimples za makalio, nikiziona basi wachaga wapo njiani[emoji16]View attachment 1813384
Dah sasa hizo huwa unazifanyia nini mkuu? Kuna vitu vinafurahisha mara uwazi mara dimples za kiuno😂🙌
 
[emoji848]
images-152.jpg
 
Yaani ni mshangao ningewaelewa kama wangesema lips kama hizo zako maana ni kweli zinaonekana nzuri ila dimples za kiunooo🙌😂
Wanataka kutuua hawa wanaume kwa stress hakuna kingine.wanatafuta sababu ya kuchepuka.

Utasikia Ohoo napenda dimpoz,mara mdomo mdogo,hujakaa Sawa mara mguu wa bia,hujatulia mara blackbiuti..

Hakyamama nyie wanaume mtatutoa roho
 
Wanataka kutuua hawa wanaume kwa stress hakuna kingine.wanatafuta sababu ya kuchepuka.

Utasikia Ohoo napenda dimpoz,mara mdomo mdogo,hujakaa Sawa mara mguu wa bia,hujatulia mara blackbiuti..

Hakyamama nyie wanaume mtatutoa roho
Kwa hiyo mnafanya hivo kumfurahisha mwanaume??
Pumbavu kabsaa acheni ujinga wenu

Jikubali uishi maisha yako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na yooote hayo wanawake weusi wenye shape za kibantu hawajawahi kuchuja na wala kuwa defeated pahala popote.
Lakini mimi bado nasisitiza. Ukitaka kuwa na amani na furaha katika maisha yako ya ndoa basi mpende mtu kwa sababu "mnaelewana" na kamwe usimpende kwa sababu ya "muonekano" wake.

Cha kuwaunganisha kiwe ni "maelewano" hata kama mtu huyo ni kiwete lakini kama mnaelewana basi huyo ni sahihi kwako.
Maelewano ya dhati huwa hayachakai lakini tamaa ya macho huwa inakinai haraka. Ukivutiwa na mtu sababu ya muonekano fulani itafika mahali baada ya muda kupita utamchoka. Nitakupa mfano mdogo.

Wanawake huwa wanapitia mabadiliko kadhaa katika miili yao. Mwanamke anapozaa huwa anabadilika, hawezi kuwa sawa sawa na kabla hajazaa. Kuna mabadliko kwenye mwili wake lazima yatokee. Yanaweza yakawa mabadiliko madogo au makubwa lakini mabadiliko ni mabadiliko.

Shida itaanza kama hapo mwanzo ulimpenda sababu ya muonekano wake wa nje. Atakapobadilika na wewe upendo wako au tamaa yako itabadilika.

Lakini ukimpenda mtu sababu ya maelewano yenu kamwe hamtachokana. Hata kama muonekano wake utabadilika, maelewano yenu hayatabadilika kamwe.
 
Back
Top Bottom