Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Yani nyie shida yenu ni kutuona tukiteseka tu hakuna kingine 🤣🤣🤣
Maana tabia hamtobadilisha😔😔
Maana tabia hamtobadilisha😔😔
Yaani na hapa tulipofikia tumejitaidi sana.tuombeeni tupige hatua nyingine.wenyew hatupendi kutamani hovyo ni vile iko nje ya uwezo wetu