Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo.
Nikawasikia tena walivyompigia Kamishna wa Polisi Muliro ili aongelee kuhusu zuio la Maandamano ya issue ya Bandari(DP World). Kuna sentence za kiingereza alizizungumza CP Muliro lakini jamaa hawakuzichangia katika mijadala yao na wakamuaga faster.
So far nawakubali sana.
Kuna watu wamepata chance katika maisha kiujanja ujanja tu na jamii ikawaamini na kuwakubali.