Napenda kujua elimu ya Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela

Napenda kujua elimu ya Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela

Nilimquote, M.Kitenge alikosea sentensi tatu :

- Circumstance akasema sakantensi

- You know the Dubai and Dubai know you?

- You come on Muliro to this topic, orait you?

Zembwela alikuwa anamtolea macho Kitenge kama anataka kukata roho

Hango yeye ni kutingisha kichwa na kuangalia chini
 
uko sahihi kuna aina nyingi za intelligence ambazo kimsingi zingetakiwa zitambulike
Mfano, waimba mziki, wacheza mpira, mafundi mbalimbali, washona nguo/mitindo, wapishi nk nk
LAKINI usisahau kuwa dunia tunayoishi hadi sasa inatambua Intelligence ya darasani tu (ya kujibu mitihani) na bado hakujawa na vigezo vya kupima hizo intelligence nyingine....hivyo muongeleshe tu taratibu kwani watu wengi wakiwemo wazungu hawaelewi hii kiti......
Kuna tofauti kati ya Intelligence na Talent pia
 
Umesahau kuuliza ya Baba Levo
Huyo BABA LEVO anqfahamika. Kwanza si unamuona anavyohangaika kujiweka kidigitali lakini inagoma. Anajaribu kuvaa kisasa kama vijana wa mjini lakini ANAPOONGEA LAFUDHI YA MANYOVU INAMUUMBUA SANA KUWA NI MLUGALUGA ALIYECHANGAMKA
 
Kuna tofauti kati ya Intelligence na Talent pia
Naelewa japo hapo ndio tunakosea kwa kufikiri kuwa, mtu ambaye ni Intelligent anaweza kuelewa/kufanya kila kitu Bila kujua kuwa Talent ni Inteligent in a narrow criteria yaani ni sawa na kusema Talent ni specialist (mtu anayejua kitu flani au anayefundishika kitu flani na kuwa mahiri sana) tofauti na Inteligent ambaye anaweza kujua vitu vingi akifundishwa ila sio lazima avijue sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umenifurahisha umeongea fact kabisa Mimi nimesoma PCB aisee kumeza nilikuwa fundi naweza kukuhamishia kitabu kabisa kuna topic inaitwa fluid mechanics aisee nikiliona swali mtu unajua linataka formula gan sio had udrive Kama mtu wa pcm
Hapa mkuu umejipinga mwenyewe.
Wale wanafunzi waliokuwa wanawekwa madarasa ya sayansi walikuwa wana uwezo mkubwa wa kukariri mambo na ndio maana walikuwa wanabutua kotekote na kutusua masomo yote haimaanishi kwamba walikuwa wanajua lugha.
Yaani kwa kifupi hawakuwa hata na huo muda wa kujifunza kuongea lugha,hata kuna wengine ukiwaongelesha kiingereza wananyamaza kama mabubu ila wangojee siku ya pepa uone maajabu yao.
Kwa hiyo kujua lugha ya kiingereza haina uhusiano wowote na uwezo wa akili na ndio maana wachina na wakorea hawajui kabisa kiingereza na wanatamba.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umenifurahisha umeongea fact kabisa Mimi nimesoma PCB aisee kumeza nilikuwa fundi naweza kukuhamishia kitabu kabisa kuna topic inaitwa fluid mechanics aisee nikiliona swali mtu unajua linataka formula gan sio had udrive Kama mtu wa pcm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ndio hivyo aisee,PCB ndio inaongoza kwa kukariri ukisoma kwa kuelewa huondoki na kitu maana hata maneno yanayotumika mengi sio ya kiingereza mfano neno Phylum Zygomycota,halafu kila part ndogo inagawanyika tena mara 7 au 5 hapo ndipo Biology ilinifanya niikimbie.
 
Huwezi kujiita msomi halafu hujui kiingereza. Inamaana ulisomaje sasa. Hasa elimu baada ya kumaliza form 4 au form 6.

Kama mlikuwa mnakariri tu na kumeza pamphlet badala ya kuelewa basi Msitafute excuse
Walikariri
Alafu lugha uki acha kuitumia unasahau
 
Back
Top Bottom