Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa huu ujinga ulioandika unarandana vipi na kutetea shudu lako la English ndiyo kipimo cha akiliNakwambia wewe ni darasa la saba, tena failure. Kama umeingia sekondari ungeliona uhusiano niliousema. Zamani kulikuwa na Science 1 and Science 2 then Arts. Wale waliokuwa wanajua Physics, mathematics , aditional maths, chemistry, Biology ndio walikuwa science 1&2. Wengine "tusiojua hayo" tunawekwa Arts tukitumainiwa tuwe mabingwa wa lugha..swahili, english , history na mengine yaliyobaki. Sprisingly enough, hao hao wa scince ndio walikuwa wanaongoza masomo pia ya arts na kiingereza wanapata A.
Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo.
Nikawasikia tena walivyompigia Kamishna wa Polisi Muliro ili aongelee kuhusu zuio la Maandamano ya issue ya Bandari(DP World). Kuna sentence za kiingereza alizizungumza CP Muliro lakini jamaa hawakuzichangia katika mijadala yao na wakamuaga faster.
So far nawakubali sana.
Kuna watu wamepata chance katika maisha kiujanja ujanja tu na jamii ikawaamini na kkwenye uandishi was habar wenye elimu wanakufa njaa wajanja wajanja kina juma lokole na kina baba levo ndio wanakufa Manisha
Haaaahaaaah!! Hakika umeongea uhalisia. Tz ukiwa na mdomo na vitimbwi ujue umeshatoka kimaisha. Angalia Kitenge na Zembwela jinsi uchambuzi wa kikomedi unavyowang'arisha, angalia Piere Liquid, Mandonga, Makonda alivyomkwida mzee warioba . Hata Mbunge Musukuma ni Mdomo tu ndio umempa umaarufuTanzania we jua kupiga domo
Utawekwa sehemu yoyote tu na watu
Watakufatilia
Ova
Hapa mkuu umejipinga mwenyewe.Nakwambia wewe ni darasa la saba, tena failure. Kama umeingia sekondari ungeliona uhusiano niliousema. Zamani kulikuwa na Science 1 and Science 2 then Arts. Wale waliokuwa wanajua Physics, mathematics , aditional maths, chemistry, Biology ndio walikuwa science 1&2. Wengine "tusiojua hayo" tunawekwa Arts tukitumainiwa tuwe mabingwa wa lugha..swahili, english , history na mengine yaliyobaki. Sprisingly enough, hao hao wa scince ndio walikuwa wanaongoza masomo pia ya arts na kiingereza wanapata A.
Jiulize ni kwanini Kenya yupo mbali sana kuliko sisi, jiulize ni kwanini Kenya, Nigeria, Uganda, Ghana nk wana raia wengi nchi za nje hasa Ulaya na Marekani, Jiulize ni kwanini wa Kenya wengi wapo kwenye Mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja na UN.kuna mtu aliwahi kusema "njia moja wapo ya kuficha ..... wako ni kukaa kimya" kujua
kiingereza kingekuwa kipimo cha akili/kigezo muhimu watu tungekuwa mbali sana
kitenge kasoma diploma ya journalism tanzania school of journalism ile ya zamani kabla haijaunganishwa na chuo kikuu cha udsm,wakati huo chuo kilikuwa kinatoa diploma ya journalismUkiniambia Gerald Hando ni Msomi nitaamini ila Maulid Kitenge nakataa kabisa labda awe amepata hiyo diploma kiujanjaujanja tu. Na kuhusu Zembweli asitiriwe tu maana hakuna namna, kundi lake ni Mkwere, Joti, Masanja na MPOKI
ni kweli jamaa yuko njema kichwaniLakini wewe unafikiri wana hiyo intellectual capacity ya kujenga hoja, bila hata kusoma sana madarasani?
Kusema kweli namkubali sana Masoud Kipanya. The guy is brilliant. Amezaliwa huku kwetu, ni ngum sana kueleweka na kukubalika.
WAnaosoma habari wengi ni maripotaTofautisha presenter na mwandishi wa habari,bongo vituo vingi vina marepresenter waandishi wa habari WENYEWE ni wale unaowaona wakati wa kusoma taarifa ya habari
Waandishi wa Habari wengi hapa Tz elimu yo mashakaka au ungaunga mwanaNimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo.
Nikawasikia tena walivyompigia Kamishna wa Polisi Muliro ili aongelee kuhusu zuio la Maandamano ya issue ya Bandari(DP World). Kuna sentence za kiingereza alizizungumza CP Muliro lakini jamaa hawakuzichangia katika mijadala yao na wakamuaga faster.
So far nawakubali sana.
Kuna watu wamepata chance katika maisha kiujanja ujanja tu na jamii ikawaamini na kuwakubali.
Kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanafundishwa Kiswahili au?? Maana Kitenge hajawahi kusikika akiongea kiingerezakitenge kasoma diploma ya journalism tanzania school of journalism ile ya zamani kabla haijaunganishwa na chuo kikuu cha udsm,wakati huo chuo kilikuwa kinatoa diploma ya journalism
Hivi mkuu kozi ya uandishi wa habari ina nini kikubwa zaidi ya kufunzwa maadili ya kazi.Ukiniambia Gerald Hando ni Msomi nitaamini ila Maulid Kitenge nakataa kabisa labda awe amepata hiyo diploma kiujanjaujanja tu. Na kuhusu Zembweli asitiriwe tu maana hakuna namna, kundi lake ni Mkwere, Joti, Masanja na MPOKI
Kuna kazi ni nyeti sana na zinahitaji uelewa mpana kitaaluma na sio talent. Mwanahabari asiyekuwa na elimu ya kutosha kumuwezesha kupambanua mambo ni hatari kwa jamii na Taifa kwasababu kila atakachoambiwa yeye atakipamba tu au kukikosoa tofauti na uhalisia. Ni kama wabunge wenye elimu ndogo mara nyingi WANAFUATA MOOB PSYCHOLOGY AU CHAMA KINATAKA NINIHivi mkuu kozi ya uandishi wa habari ina nini kikubwa zaidi ya kufunzwa maadili ya kazi.
Kuongea na kusoma habari ni vitu vigumu sana kama ku design madaraja au software au kumpasua mtu?
Hisp x kuna mtu alikaa na madokta wa kizungu mda mrefu na akawa anaaminika hadi kufanya operation.
Kuongea ongea tu mnataka ku complucate acheni hizo.
Duniani kuna elimu na talent. Hao wanabebwa na talent na kila chombo cha habari kinapenda kiwe na talents kama hizo ila havina.
Zimbewela amepitia mambo mengi na anajua mengi kama utamsikiliza kwa makini.