Napenda kujua elimu ya Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela

Kuhusu kukosa nafasi za kazi UN na mashirika makubwa duniani, nadhani ni mfumo wa kijamaa umetulemaza sana wabongo
 
Kama yule mbunge mwenye inferiority complex ya kutisha anasagia elimu.Anaharibu sana watoto kisaikolojia kuhusu elimu anakera mno
 
Uganda ndio wana fluent English best kuliko yyte east Africa na still ni majinga
 
Nimependa yale mabegi waliobeba walipotoka DP offices. Amazing!
 
Kwani kujua Ingilishi ndiyo elimu?
Kwa mtaala wa tanzania, ili upate elimu ya kuanzia sekondari, lugha ya kufundishia na ya mawasiliano ni kiingereza.

Sasa utapataje elimu ya Tanzania bila kujua lugha ya kufundishia na mawasiliano ambayo ni English?
 
Mimi naona Kuna kutulia Fulani kunakosekana Gerald Hando yuko vzr sana basi tu Bado hajapata Chemistry...[emoji1]chemistry aliiicha clouds..Pb Enzi hizo Phina Mango,Kp na Hando mwenyewe[emoji13]
Ile pb ya fina, gerald na kipanya ilikuwa ya moto sana. Hando alikuwa na msemo wake "mtu tatu kama bilioni tatu"... clouds ilijitahidi sana kuweka watu sahihi kwenye kila kipindi.
 
Kingereza ni lugha ya Kama kiswahili tu. Imepewa umuhimu kwasababu ndiyo lugha inayotumika kufundishia mashule.

Kingereza hakina uhusiano wowote na kipimo cha akili au uwezo wakiakili wa mtu.

Mkuu ficha ujinga wako kutunza brand yako.
Wewe mpuuzi acha kujidanganya
 
Tanzania we jua kupiga domo

Utawekwa sehemu yoyote tu na watu

Watakufatilia

Ova
Kweli kabisa Mrangi. Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi akaletwa jamaa fulani kaishia darasa la 6 ila mpiga domo hatari. Sisi tunamuita mwenye kampuni boss yeye bila aibu anamuita Baba halafu ni namba moja kwenye ushauri. Kajamaa kalikuwa kanoko hatari. Hakuna jambo mtafanya asimfikishie boss. Ilifika point akawa kama Naibu boss.. hadi naondoka tayari alikuwa anaogopeka hadi na mainjinia waliokuwa kwenye ile kampuni.
 
Kaka kiingereza n kusoma sana?
 
Kaka kiingereza n kusoma sana?
Huwezi kujiita msomi halafu hujui kiingereza. Inamaana ulisomaje sasa. Hasa elimu baada ya kumaliza form 4 au form 6.

Kama mlikuwa mnakariri tu na kumeza pamphlet badala ya kuelewa basi Msitafute excuse
 
Kuna Mmoja Elimu yake ni Kulelewa Tanzania, Dubai ( UAE ) na Marekani, Kusodoma na Kusodomiwa.

Kuna Mmoja Elimu yake ni Kuvuta Bangi sana Mikocheni, Ubongo, Sinza ,Manzese na Kuigaiga Mambo.

Kuna Mmoja Elimu yake ni Kulewa Gambe hadi Kuzima kabisa na Kueneza Virusi vyake vya 1981.

Sitaki Maswali yoyote yale tafadhali.
 
Kiingereza sio elimu lakini huwezi kukiweka kando kiingereza na kipimo cha elimu kwa mitaala ya elimu yetu.....Kwa kifupi huwezi kupata elimu au maarifa kwenye mitaala yetu kama hujui kiingereza maana ndio lugha rasmi ya kufundishia.....

Mtu mwenye kujua vyema na kuongea kiingereza anahesabika ni mwenye elimu na maarifa kwa kuwa ndio lugha rasmi na pekee kwenye kujipatia elimu na maarifa.....hata vitabu vingi vyenye elimu kubwa na maarifa makubwa vinatumia lugha hiyo kama njia ya kuwasilisha kilichopo humo.......

Sasa kama mtu hujui kiingereza utapataje hiyo elimu.........

Kujua English kunanasibihiana na kiwango cha elimu hapa kwetu kwa kiwango kikubwa sana isipokuwa tu sio wote wenye kujua English na Wana elimu......
 
Mbongo we wapige domo+tantalila nyingi utawapata

Ova
 
Zembwela zamani alikuwa fundi garage tu.....akaingia kwenye sanaa
Kuongeaongea kwake,ndiyo hivyo tena leo mwandishi
Kwani wakina mbwiga si walewale tu

Ova
 
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…