Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

Yupo, kazini kama wengine, anavyochochea, kuna malipo makubwa sana wanayapata kutoka nchi za magharibi aka Wana NGO fake zinazojidai kupigania human rights /
 
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?


Anakuambia Tutaelewana.

Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
anapambania Tanganyika huru na HAKI. Una lingine?
 
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?


Anakuambia Tutaelewana.

Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Anapambania taifa,ila wewe unapambania wanamtandao na washirika wao!
 
Back
Top Bottom