Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

Let me clarify this for the sake of your stagnant brain, anybody who is fighting for justice be it Maria or anybody else gets my support that’s why even Polepole and Gwajima when they made a U-turn we welcomed them to jump into the wagon regardless their untrustworthy previous records so that crap of personal grudges between you and Maria it’s your personal life and it has nothing to do with our movement. Kama mnagombania mume keep it to yourself.
Cierro mi caso sobre este asunto.
Mume gani yule mchafu wa ki Ethiopia?! Wewe umejaa funza kichwani si bure!

Run back to your broke ass trophy husband whom you took in just to check the boxes of being a married wannabe aristocrat!
 
Kama ni ajira alipaswa ku declare conflict of interest. Kwamba analipwa na wadhamini kadha wa kadha kufanya hiyo kazi HAJITOLEI!

Anaficha udhamini ili iweje?

Ana agenda gani za siri alizokuwa amepanga?

Ana faidika nini kuaminisha wafuasi wake kuwa anajitolea?

Ni mara ngapi alinukuliwa akiandika kwenye ukurasa wake wa X kuwa hahitaji malipo yoyote zaidi ya kutiwa moyo kwa maneno na dua njema za wafuasi wake?

Jambo lolote linalofanywa kwa kificho ni jambo baya kwani linatoa nafasi kwa rushwa hasa kwasababu CCM wasingeruhusu apokee hela bila wao kufaidika nazo hasa kama zitatumika kinyume na serikali yao.

Pia inatoa fursa ya yeye kuwa double agent, kwani muda wowote anaweza akageuka kuendana na maslahi.

Umeshajiuliza siku CCM wakiamua ku match hela anazopewa na wadhamini kwa masharti nafuu ukilinganisha na hao wadhamini Ford et al atakaa upande gani?

Umeshawahi kumchunguza Maria na kugundua kuwa haambiliki kitabia, tabia ambayo inaendana sana na ile ya CCM?! CCM tangu lini wakaambilika?

Umeshawahi kujiuliza, ni kwanini Tanzania ina wasaliti wengi waliokuwa upande wetu mwanzoni kisha wakanunuliwa kama Polepole, Ezekia Wenje, Msigwa nk?

Umeshajiuliza kwanini mapema mwaka huu, Maria Sarungi alipewa tender ya kuwafanyia training ya "Uongozi bora" watu wa Chadema wakati Mbowe bado ni Mwenyekiti wao? Nani leo hajui Mbowe alikuwa kibaraka wa CCM?

Ogopa sana mtu asiyeambilika ilihali anataka na kufurahia kukuambia wewe vitu wakati wote akitegemea umsikilize! Yaani, wanaojidai watimilifu bila kuwa na uwezo wa kutambua mapungufu yao wenyewe wakiwa kama wanadamu walioumbwa na mpungufu.

Muda ni mwalimu mzuri sana!

Experience is the best teacher!
 
Hivi kweli hili ni swali la mtanzania mtu mzima anaetumia JF? Jaman mbona mtihani
 
Back
Top Bottom