Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?

Anakuambia Tutaelewana.

Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Nenda uhamiaji ukakague uraia wako. Njoo na matokeo yako hapa na uulize hili swali tena
 
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?

Anakuambia Tutaelewana.

Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Is just hatred or just jealousy, kwanza hajiiti Maria Sarungi bali anaitwa jina hilo. Ndiyo jina alilopewa na wazazi wake.
Kwenye mtandao wa ✖️ yupo unaweza kumuuliza maswali personal ukapata majibu kwa kirefu sana ila kwa kifupi anapambania democracy, civil rights, human rights na mtiririko wa mambo ambayo ni positive kwa taifa.
 
Tunaelewa ana wanajeshi wake humu wa kusafisha taswira yake kwenye jamii. Maria Sarungi Tsehai squad. Wanapewa mgao kama wale wa UVCCM. Hela zinatoka kwa wadhamini ikiwemo Trust Fund ya Bw Ford aka Ford Foundation.
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Kama anao what you call wanajeshi pasina kuweka ushahidi it means you’re either a big time liar or you’re mentally incapacitated. Supporters yeah with those who share same democratic goals, jambazi Samia and her gang wanatupeleka vibaya na bila ya collective efforts we won’t be able to win.
 
Hivi wewe unayepewa Tshs elfu 10,000/- kumi na Maria kuja kubwabwaja ujinga humu, unaelewa hata unachoandika?

Kwa ujinga wako uliopitiliza umeandaa jibu moja unalo paste kwa kila anayemkosoa mwajiri wako Maria kana kwamba lazima awe CCM?!

Huyo Maria wenu mnajidai yuko beyond reproach amekua Mungu? Huyo mwana propaganda mmoja mjanja mjanja anayepiga hela za wadhamini bila kuwatambua (fraud), unataka kujidanganya ni mtimilifu na hakosei wala hakosoleki?? Na atakayemkosoa mnatumwa kum gaslight kwa kumwita CCM??

Angekua mtimilifu kwanini ali panic CCM walivyoanika miamala yake kutoka Ford Foundation?

Kwanini anataka kutuaminisha kuwa anajitolea kufanya harakati wakati anapokea mabilioni kwajili hiyo, tena kwa ku-apply mwenyewe??

Nenda shule uoshe ujinga!
 
Attachments

  • Screenshot_20251207_194823_Chrome.jpg
    Screenshot_20251207_194823_Chrome.jpg
    192.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20251207_194830_Chrome.jpg
    Screenshot_20251207_194830_Chrome.jpg
    206.4 KB · Views: 19
Kama anao what you call wanajeshi pasina kuweka ushahidi it means you’re either a big time liar or you’re mentally incapacitated. Supporters yeah with those who share same democratic goals, jambazi Samia and her gang wanatupeleka vibaya na bila ya collective efforts we won’t be able to win.
Ukimwangalia Maria Sarungi alivyochoka sasa hivi, haendani kabisa na kiwango cha fedha anachopokea kutoka kwa wadhamini wake wakiwemo Ford foundation.

Ukichimba zaidi, utagundua anatumia hela nyingi sana kulipa watu wa propaganda wa kumsafisha huko X na kwenye mitandao ya kijamii kama Jamii Forums.

Ukichambua zaidi, utagundua kwamba, akishalipa madeni ya ile biashara yake iliyofungiwa ya Kwanza TV, akawalipa na "propaganda squad" yake, pamoja na waajiriwa wake wengine kama Mshabaha, Hilda Newton nk gharama za ofisi, anabaki na fedha kidogo za matumizi ya makazi, chakula, mwonekano kama vile kwenda salon na manunuzi ya mavazi ya bei rahisi kama anayovaa sasa (tofuati ya mavazi anayovaa sasa na mwaka 2020 kwenda nyuma ni usiku na mchana).

Mwisho wa siku, ana baki bila akiba yoyote ya maana na hiyo inampa mawazo mengi kiasi cha kumnyima usingizi. Hiyo inamfanya pia, awe desperate sana kuwa reinstated ndani ya CCM aristocracy kama alivyokuwa zamani, enzi za marehemu baba yake.

You have to be a real retard to be one of her recruits because as you will soon find out, she is merely a spoilt brat in an adult's body, who won't hesitate to flush you down the toilet once she's done exploiting you! Just you wait!

And, we don't really need you or her to tell us why or how to oust the incumbent government. We have always known about the ongoing corruption, we have all witnessed the recent electoral coup. As a result, we are organising another protest, which she is so desperately trying to attain credit for masterminding never mind the fact that it's not the case! To her bluffing is a sport that she is trying very hard to master!

While she can fool a lot of people from time to time BUT She can not fool EVERYONE all the TIME!
 
I didn’t know that you’re this obsessed with her and if she is as crazy as you’re insinuating this translates that you and her fall into the same category.
I don’t have time to be busy with people’s personal lives though back in day before she became an activist I used to know her personally but that’s beside the issue at hand. If both of you are fighting for credits on the people’s struggles then you’re both stupid, these are purely Gen Z battles and the rest are just motivators, even without them nothing will change, you and Maria can put your goddamn asses down but nothing will stop or even slowdown the fight for justice.
 
Ukiendelea na vi nyuzi vyako kuna siku watanganyika wakutakuja kukusalimia, chawa wew
 
I didn’t know that you’re this obsessed with her and if she is as crazy as you’re insinuating this translates that you and her fall into the same category.
I don’t have time to be busy with people’s personal lives though back in day before she became an activist I used to know her personally but that’s beside the issue at hand. If both of you are fighting for credits on the people’s struggles then you’re both stupid, these are purely Gen Z battles and the rest are just motivators, even without them nothing will change, you and Maria can put your goddamn asses down but nothing will stop or even slowdown the fight for justice.
You are undoubtedly the most incompetent propagandist in the history of mankind!

One minute you're on Maria's side, the next minute you've flipped 180°?! If you're gonna receive a share of Sarungi's donation from Ford, why not do your job properly?! Afterall, it is your means of survival you plebian!

By the way, your writing style gives it away that you're probably a sock puppet account of Maria Sarungi herself! Afterall, that's the sort of shit you get sponsored to do day in and out! Just sit around as a glorified keyboard warrior and Ford et al takes care of your bills.

Piece of advice to a broke opportunistic coward like yourself, if you're gonna scrutinize the corrupt, you ought to be open to being scrutinized too, and make sure you're squeaky clean yourself, otherwise you're just a bullshiter and your business model will soon collapse! Can't profit off peoples' ignorance forever!
 
Let me clarify this for the sake of your stagnant brain, anybody who is fighting for justice be it Maria or anybody else gets my support that’s why even Polepole and Gwajima when they made a U-turn we welcomed them to jump into the wagon regardless their untrustworthy previous records so that crap of personal grudges between you and Maria it’s your personal life and it has nothing to do with our movement. Kama mnagombania mume keep it to yourself.
Cierro mi caso sobre este asunto.
 
Back
Top Bottom