Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Wewe unasimamia nn katika maisha yako?Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungu , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
NGO zina mpunga mrefu wa bila jasho. Wewe endelea kukimbizana na TRAKuna huyu Dada anajiita Maria sarungu , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
😂😂😂😂Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungu , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
Swali ni Maria sarungi anapambania nini, hajauliza anasimamia nini. Mimi nakujibu anasimamia mali za baba yake mzee prof Sarungi Rip.Wewe unasimamia nn katika maisha yako?
Anasimamia kuchaWewe unasimamia nn katika maisha yako?
anapambania Tanganyika huru na HAKI. Una lingine?Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Kwahiyo hizl has tag ndo mapambano ?anapambania Tanganyika huru na HAKI. Una lingine?
Anapambania taifa,ila wewe unapambania wanamtandao na washirika wao!Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani?
Anakuambia Tutaelewana.
Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Taifa linapambaniwa Facebook na IG na insta.?Anapambania taifa,ila wewe unapambania wanamtandao na washirika wao!