Kwa kuongea jamani wamebarikiwa mweeh!....kuna siku huyo huyo bidada ofisini masisitaduu wakampekua kwenye pochi yake akakutwa na mahirizi....usoni sasa ana chale hizoo doooh!Waongeaji sana na ushirikina hapo ndio kwao
Naenda iringa vijijini SAA sita kijijo kizima walishalewaHahahahahaa. Kwa Moshi nakuunga mkono
Watanga wote wambea wambea sana na wanachonga sanaKuna mdada mbondei job hadi juzi kachezea kichapo kwa umbea, na ushirikina!
Halafu talkative mnooo dooooh!
Wanawake wengi wa makabila ya Tanga kazi kubwa ni usafi na kujitengeneza kwa ajilivya kuwadaka wanaume, kila wakati wanawaza ngonoZamani, walikua wanasema ni mlango wa 8, kwamba mwanaume wa kabila jengine akioa hapo hua haendelei sjui kuhusu sasa hivi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuongea jamani wamebarikiwa mweeh!....kuna siku huyo huyo bidada ofisini masisitaduu wakampekua kwenye pochi yake akakutwa na mahirizi....usoni sasa ana chale hizoo doooh!
Bebe nimekubambaSiwezi nikamfungulia biashara mchepuko. Ni kumkanya tu kuwa tabia yake siipendi. Biashara anafunguliwa njia kuu tu
Naenda iringa vijijini SAA sita kijijo kizima walishalewa
Bebe nimekubamba
wachu mean??Wanawake wengi wa makabila ya Tanga kazi kubwa ni usafi na kujitengeneza kwa ajilivya kuwadaka wanaume, kila wakati wanawaza ngono
Hahahah mkuu umescare....Wabondei ni watanzania wanaopatikana mkoani Songea wilayani Kagera.
Umeharibu kuwataja wasomaliHiyo nimeisikia hata Mimi. Wabondei sifa nyingi nje, maisha yao hayana tofauti na wasomali.
Unaweza kukuta, amevaa vizuri lakini anapolala ni balaa.
Ndio nimetoka kumchana live... nimemwambia achague moja aendelee na mimi kwa masharti yangu au akiona hawezi asepe zake. Kashindwa kunijibu chochoteSiwezi nikamfungulia biashara mchepuko. Ni kumkanya tu kuwa tabia yake siipendi. Biashara anafunguliwa njia kuu tu
Sio kweli mkuu, ila hawa ndugu zangu wana kiburi/jeuri haoooHiyo nimeisikia hata Mimi. Wabondei sifa nyingi nje, maisha yao hayana tofauti na wasomali.
Unaweza kukuta, amevaa vizuri lakini anapolala ni balaa.
Muda mwingine kuomba/kubembelezea Ndiko kunaleta Hamu ya mapenziSky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
Njia kuu huwa iko humble sana haisumbuagi hata kidg huwez amini.Sky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
Usiombe na hajarecover bado na hiyo ishu ya hirizi....tulimbananisha eti kinga yake[emoji23] [emoji23] ....tukamuuliza ndo uje navyo job?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kukutwa na hirizi aibu jamani
Sana mkuu, halafu uswahili swahili mnoo!Watanga wote wambea wambea sana na wanachonga sana
Wanapatikana mkoa Wa tanga,,wilaya ya muheza,,ni Wa watu wazuri,,wanapenda sn ELIMU,,wengi walikibali kubadilisha DINI sababu ya KUSOMA SHULE ZA missionary hapo zamani,,,pia wanashabihiana sana LAFUDHI ,,,na baadhi ya MILA ZA WAZIGUWA NA WASAMBAA,,,MIAKA ya zamani ilikuwa WADIGO MARUFUKU KUOA MWANAMKE WA KIBONDEI,,,,ila WANAWAKE wao ni WAONGEAJI SANA,,