Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Waongeaji sana na ushirikina hapo ndio kwao
Kwa kuongea jamani wamebarikiwa mweeh!....kuna siku huyo huyo bidada ofisini masisitaduu wakampekua kwenye pochi yake akakutwa na mahirizi....usoni sasa ana chale hizoo doooh!
 
Zamani, walikua wanasema ni mlango wa 8, kwamba mwanaume wa kabila jengine akioa hapo hua haendelei sjui kuhusu sasa hivi
Wanawake wengi wa makabila ya Tanga kazi kubwa ni usafi na kujitengeneza kwa ajilivya kuwadaka wanaume, kila wakati wanawaza ngono
 
Kwa kuongea jamani wamebarikiwa mweeh!....kuna siku huyo huyo bidada ofisini masisitaduu wakampekua kwenye pochi yake akakutwa na mahirizi....usoni sasa ana chale hizoo doooh!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kukutwa na hirizi aibu jamani
 
Wabondei na wadigo are so narrow minded, they can see through a key hole with both the eyes at one time!
 
Hiyo nimeisikia hata Mimi. Wabondei sifa nyingi nje, maisha yao hayana tofauti na wasomali.
Unaweza kukuta, amevaa vizuri lakini anapolala ni balaa.
Umeharibu kuwataja wasomali

Endelea na Wabondei kwasasa
 
Wanapenda sana ushirikina utalishwa kwenye msosi na pia atatia mpaka kwenye papuchi,alafu ni wavivu wa kazi za kimaendeleo wako wanajua kuosha K na kushare kwa atakae omba
 
Siwezi nikamfungulia biashara mchepuko. Ni kumkanya tu kuwa tabia yake siipendi. Biashara anafunguliwa njia kuu tu
Ndio nimetoka kumchana live... nimemwambia achague moja aendelee na mimi kwa masharti yangu au akiona hawezi asepe zake. Kashindwa kunijibu chochote
 
Sky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
Muda mwingine kuomba/kubembelezea Ndiko kunaleta Hamu ya mapenzi
 
Sky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
Njia kuu huwa iko humble sana haisumbuagi hata kidg huwez amini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kukutwa na hirizi aibu jamani
Usiombe na hajarecover bado na hiyo ishu ya hirizi....tulimbananisha eti kinga yake[emoji23] [emoji23] ....tukamuuliza ndo uje navyo job?

Sio siri huwa namuogopa sana!
 
Watanga wote wambea wambea sana na wanachonga sana
Sana mkuu, halafu uswahili swahili mnoo!

Nakaa nae desk moja halooo nakoma jamani!.... Yaaan akianza kuongea ni hanyamazi mpaka tunatoka ofisini!
 
Swadaktaaaa
Wanapatikana mkoa Wa tanga,,wilaya ya muheza,,ni Wa watu wazuri,,wanapenda sn ELIMU,,wengi walikibali kubadilisha DINI sababu ya KUSOMA SHULE ZA missionary hapo zamani,,,pia wanashabihiana sana LAFUDHI ,,,na baadhi ya MILA ZA WAZIGUWA NA WASAMBAA,,,MIAKA ya zamani ilikuwa WADIGO MARUFUKU KUOA MWANAMKE WA KIBONDEI,,,,ila WANAWAKE wao ni WAONGEAJI SANA,,
 
Back
Top Bottom