witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23] [emoji23]Oooh shukrani mkuu... ila hapo kwenye kuongea sana hatarii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Oooh shukrani mkuu... ila hapo kwenye kuongea sana hatarii
Na sio wanawake hata wanaume ni talkative sana!Sio wote,,wengi wao wapo hivyo....
mkuu na wewe ni mbondei nini..!!!!Mkuu unawajua vyema!
Ndio mkuumkuu na wewe ni mbondei nini..!!!!
ahsante sana... acha nikusifie... kwenye mapenzi mpo vizuri kuliko makabila mengine yote...Ndio mkuu
Mkuu tutambulishane mbondei wa wap?Ndio mkuu
Kwaio unakua ni kama unaishi umeshikilia handbreak[emoji23]
Hahah jamani keep exlporing...
Hilo ni jina original la Bonde, huwezi pata mahali ingine.Mahija nilisoma nae primary kumbe ni wabondei hao
...Wadigo kwao ni ukoo mmoja tu ndo ulikubali kubadilisha dini kwa ajili ya Shule. Ukoo wa mzee Pera, ndiko walikotokea akina Pro. Jengo (Udsm) akina Eng. William Boko (aliwahi kuwa kiongozi wa Yanga). Watoto wao wote wanawaita majina ya kidigo ya ndani ndani kabisa ku save identinty. Kanisa lao lipo pale Kana, karibu na Tangamano Hall. Wadigo hawakuwapenda Wabondei kwa ajili ya kuchezea dini (kubadilisha badilisha) pia ndio walikuwa wauza Bar (barmaid) wa kwanza kabisa 'wenyeji' kuingia katika fani hiyo. Hivyo Wadigo wapo 'sensitive' sana na dini.Wanapatikana mkoa Wa tanga,,wilaya ya muheza,,ni Wa watu wazuri,,wanapenda sn ELIMU,,wengi walikibali kubadilisha DINI sababu ya KUSOMA SHULE ZA missionary hapo zamani,,,pia wanashabihiana sana LAFUDHI ,,,na baadhi ya MILA ZA WAZIGUWA NA WASAMBAA,,,MIAKA ya zamani ilikuwa WADIGO MARUFUKU KUOA MWANAMKE WA KIBONDEI,,,,ila WANAWAKE wao ni WAONGEAJI SANA,,
Minazi yao yote wanaigema pombe !Niko makini mkuu...
Jina original la Tanga ni 'Mkwakwani'Hata jina la TANGA ni kibondei maana yake shamba
Dah nimependa ufafanuzi wako,Wabondei ni watanzania wanaopatikana mkoani Songea wilayani Kagera.
But mkuu trust issues huwa ni personal for what i know... ni mtu tuu anaamua kuwa hivyo
Mapenzi magumu kushauriila hili kabila halitoi wake ,Tanga kwa ujumla ni shida sanaAt a Mimi naombeni kufahamishwa a-b za Hilo kabila nimepata girlfrnd 19 but Naona Chenga kidogo ananizungusha tu eti Mpaka nkajitambulishe kwao na nitangaze ndoa
Hakuna kabila au mkoa usio na Malaya Me/Fe kama lipo hilo kabila naomba mnitajie
Watu mnasahau majukumu ya Mwanamke, Mwanamke kazi yake kubwa ni kulea na kuisimamia familia kwenye malezi na kuzaa hana kazi nyingine,
Naona hapa wachangiaje wengi wanasema wanawake wa Tanga ni
-Malaya
-Wavivu
Unataka kuoa mwanamke kwaajili ya kwenda kukupasulia kokote? Au kumlimisha shamba????
Hata ulevi ni personal issue lakini utafuta kauli ukienda moshi na iringa