Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Kuna wengine wanachangahivi je hii inakuaje ki afya
 

Attachments

  • IMG_20230302_201201_286.jpg
    IMG_20230302_201201_286.jpg
    892.1 KB · Views: 10
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Unasweat ya kuloanisha mashuka au Ni Ile unahisi joto Kali mwilini.....???
 
Back
Top Bottom