Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Jaribu kunywa konyagi usichanganye na imagi ...uwe una changanya na kvant ukimaliza baadae kunywa valuer nyingi
 
Simply because NI DALILI ZA FIGO KUANZA KUFELI nenda hospital... Ukichelewa yatakukuta makubwa, kwa wiki kusafishwa figo ni million 2-4
ENDELEENI KUNYWA POMBE KALI tutawazika bila figo na ini
 
Simply because NI DALILI ZA FIGO KUANZA KUFELI nenda hospital... Ukichelewa yatakukuta makubwa, kwa wiki kusafishwa figo ni million 2-4
ENDELEENI KUNYWA POMBE KALI tutawazika bila figo na ini
Acha uongo na vitisho. Zamani ilikuwa 300k but noe dialysis sehemu nyingi ni 70 k hadi 150k inategemea na your method of payment
 
Una uzoefu wa miaka mingapi?
Inaonekana mbobevu wewe.
Nyie Waarabu wa Buza mnakabiliwa na ufukara, lishe duni na udumavu wa akili. Nawaoneeni sana huruma, ndio maana comment zenu ni duni sana, hazina madini
 
Hakuna hata tu picha tuone
images.jpg
 
Back
Top Bottom