Ukaacha? Nukia ki nivea bwana, unaonekana gentleman. Yaani tumia lotion ya NIVEA ile ya coconut utanishukuru. Kama ukikosa mpenzi niite mbwa nimekaa pale👉. Usivae kisharobaro maana NIVEA haiendani na masharobaroKuna Dem nilikuwa napiga ashaniletea kama hizo
YahNgoja niitafute iyo ulioitaja..
Hawa Nivea jamani ayseeeUkaacha? Nukia ki nivea bwana, unaonekana gentleman. Yaani tumia lotion ya NIVEA ile ya coconut utanishukuru. Kama ukikosa mpenzi niite mbwa nimekaa pale[emoji117]. Usivae kisharobaro maana NIVEA haiendani na masharobaro
Alikuja badilika akaniacha mkuusasa kama ulikua unapiga mbona unalalamika hupati
acha tamaa
Secret, forever living & garnier .. chaguaNitumie ipi sasa😢?
Waongo sana haoHii inaonekana yechu sana❤️😌. 72h😋😘
PamojaTongoza mara moja piga kimya unakumbushia baada ya siku hata 5 kupita siyo kila saa unajilizaliza
Tongoza lakini usijilegeze sana utateseka akikataa fata mambo yako usibembeleze saana hadi akuone huna kazi za kufanya.
Siku akitulia akiona inafaa ataanza mazoea mwenyewe
Napenda sana watoto wazuri kama nyieNo
Ina mchango mkubwa kwenye mengi
Imagine tumshauri mtoto wa fm3 kuwa na mademu. Kweli??
Haya mkuuNapenda sana watoto wazuri kama nyie
Anauza hivi vitu ee?Secret, forever living & garnier .. chagua
Hornet lazima awe nazo incase ukikosa ama kushindwa kwenda kutafuta.
Na hili ndilo lengo la Uzi hahaNenda kwa mganga akuwekee pepo la ngono watakuwa wanakufuata wenyewe hadi ukimbie
Bandari tutakufa itabakiAsanteni kwa bandari.
Duka lolote la cosmetics utapata, ikiwa mvivu wa kuzurula. Order kwake anavyo.Anauza hivi vitu ee?
Nitaazima ya mshikaji wanguUna hata kasubaru uendeshe vioo vikiwa wazi