chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
- Thread starter
- #21
Id fake sio mwamba wa lusakaDuh yani hadi chama clatous hupati mademu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Id fake sio mwamba wa lusakaDuh yani hadi chama clatous hupati mademu?
OkTumia body splash. Hayo mambo ya kunukia ki asili hatupendi tena siku hizi. Jipende hatakama wewe ni mwanaume.
Hiyo ni ngumuNenda kwa mganga akuwekee pepo la ngono watakuwa wanakufuata wenyewe hadi ukimbie
Ebu funguka ndio nn iko. Perfume, body spray au? Maana tunanukia kibeberu na sabuni za Family Medicated Soap hapa.Tumia body splash. Hayo mambo ya kunukia ki asili hatupendi tena siku hizi. Jipende hatakama wewe ni mwanaume.
Body splash ipo kama maji.Ebu funguka ndio nn iko. Perfume, body spray au? Maana tunanukia kibeberu na sabuni za Family Medicated Soap hapa.
OkTafta hela
Hiyo ni ngumuacha nyeto mkuu
Upweke unamsumbuaAchana na mapenzi fanya mambo yako ya msingi
Jamani..Ebu funguka ndio nn iko. Perfume, body spray au? Maana tunanukia kibeberu na sabuni za Family Medicated Soap hapa.
Body splash for body b4 uvae nguoEbu funguka ndio nn iko. Perfume, body spray au? Maana tunanukia kibeberu na sabuni za Family Medicated Soap hapa.
Basi aendelee kutafuta asikate tamaaUpweke unamsumbua
Mziki bongo haulipiHizo verse toa wimbo utapata hela kisha ndio uanze kufukuzia hao mademu.
Muda wote huo una hii Siri na hausemi. Aisee. Hautaki mawifi.Body splash for body b4 uvae nguo
Perfume kwenye nguo
Kitu gani? Unataka udindde kwapa?wanatuchanganya bana mara watuambie ukipaka deoderant haudindi😂
Uongo😂, tumia moja kati ya hizowanatuchanganya bana mara watuambie ukipaka deoderant haudindi😂
Najua unajua 😄😄😄 ndio maana mawifi wanajaa ki hiace 🏃♀️Muda wote huo una hii Siri na hausemi. Aisee. Hautaki mawifi.
Hizi mbayaaaaaUongo😂, tumia moja kati ya hizo