Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Depal unaonekana unanukia sana😂Ah unaringa 😂
Unaogopa ukienda kumuuliza utashusha brand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Depal unaonekana unanukia sana😂Ah unaringa 😂
Unaogopa ukienda kumuuliza utashusha brand
Chukua Palmerskuna mdada mmoja kila akija kanisani nikipishana nae huwa nasikia harufu yake kama chocolate hv,angekua pisi kali ningemfata kwa gia ya kuulizia marashi anayotumia
Uko mkoa gani na kazi gani na umri gani??Tuanzie hapo.Kwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
mm sikufichi hata ww siku ya kwanza kuniona utaniogopa kuniongeleshaAh unaringa 😂
Unaogopa ukienda kumuuliza utashusha brand
sawa ntajarbu ila yeye hata akiwa mbali kabla hamjasogeleana unaisikiaChukua Palmers
😂😂 napendaga sana kuongelesha strangers.mm sikufichi hata ww siku ya kwanza kuniona utaniogopa kuniongelesha
Perfume hiyo kaulizesawa ntajarbu ila yeye hata akiwa mbali kabla hamjasogeleana unaisikia
Palmers ni coconut oil au palmers cocoa butter?Chukua Palmers
sawa mambo yakiwa vzuri hivi karibuni nikija Dar ntakutafta😂😂 napendaga sana kuongelesha strangers.
Sitobabaika nakuhakikishia
hapana kwa kweli.Perfume hiyo kaulize
Cocoa butterPalmers ni coconut oil au palmers cocoa butter?
Ni specifically for beautiful ladies au hata wakurungwa inafaa?Cocoa butter
Ni unisexNi specifically for beautiful ladies au hata wakurungwa inafaa?
Dia, you are the best.Ni unisex
Dia, you are the best.
One last thing,
Put a photo of it baby!
Tafuta rafiki yao ukiweza kumpata vizur huongei sana vingnevyo achana nao kabisa hao wana urafiki Na shetan tu si kiumbe kingneKwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala