Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

Swadaktaa!, shukran kwa ukumbusho.

Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
 
Mashallah sio siri wanapendeza sanaa,ni mavazi ya heshima na stara regardless umri
 
"Ewe mtume(muhammad s.a.w)waambie watu wa nyumba yako pamoja na wanawake wote wa wakiislam washushe shungi zao(wajistiri) kwani kwa kufanya hivyo hawata udhiwa"yaani hawata pata maudhi
Haya ni maneno ya allah subhanna wataalaah kutoka katika kitabu kitukufu cha qur-an
 
Hata mimi yaani hadi wakati mwingine natamani mwanamke nitakaye muowa awe muislamu , awe na dini yake ya uislamu na mimi yangu bilakubadilisha dini
 
WAKORINTHO 11:5-7

PAULO ANASEMA:

5. Bali kila mwanamke asalipo au anapohutubu bila kufunika kichwa, yuaaaibisha kichwa chake kwamaana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.

6. Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele, lakini ikiwa ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa basi afunikwe.

7. Kwa maana kweli haimpasi Mwanaume kufunikwa kichwa kwasababu yeye ni mfano wa utukufu wa Mungu, bali Mwanamke ni utukufu kwa mumewe.
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Sio waarabu bali uislam ndo unaamrisha wanawake wavae vile wajitande....so nashauri ungeuliza wanaojua kwanza ndo useme ndugu
 
Kumbe hata wanawake wa kikristo wanatakiwa kufunika vichwa vyao.
 
Heshimu uheshimiwe.
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Dini zimeleta na tamaduni za hao walioleta dini hiyo.

Hijabu si tamaduni ya kiarabu tu bali hata kiyahudi, kihindi na sehemu zingine duniani.

Picha ya Bikira Maria ni mfano mzuri wa wanawake alivaa Hijabu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…