Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Asante sana Luckyline kuchangia na kuelezea ushuhuda huo wa rafiki aliyekuwa sio mwaminifu. Endelea hivyo hivyo my sista kuwa na roho ya uaminifu. Uaminifu always unalipa. Nimefurahi kwa kweli kusoma mchango wa mdada mwenye hekima sana. Be blessed my dear friend.
 
Hata hivyo acha Tabia ya kutovaa condom, ungevaa hayo yasingetokea, mtu unajua hujawa tiyari kuoa unadumbukiza dushe bila mfuko.kutovaa kinga kuna madhala 4
1: kuzaa na mtu ambae huna mpango nae, which means kuna ngogoro ktk malezi( single parent)
2: magonjwa
3:kutokuwa na malengo na maisha yako.
4: kushinda kupanga jinsia mtoto gani mzae.

Hili likitokea tena Dada yako ntakuchapa viboko aiseee
 
Kweli kabisa. Nimekupata vizuri. ❤🙏🏽❤. Una ushauri mzuri sana. Hiyo namba 4 inawezekana hivi mtu kupanga jinsia?
 
Wow!. Kumbe inawezekana hio namba nne. Nimeisoma kwa website moja Google

"There are several methods, but the only method by far that truly, truly is accurate at ensuring desired gender is in vitro fertilization, followed by a biopsy of the embryo to determine the embryo's sex,"
 
Mambo haya wanawake wengi siku hizi wamekuwa vichomi balaa, mpaka wanasingizia waume za watu kisa ana pesa tabia hii sio kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mbaba nusura mchepuko uvunje ndoa yake kisa kubambikiwa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeumia sana kuchelewa kuona huu uzi. Laiti ningeona hizo picha na video. Huenda huyo mtoto namfahamu ni wa nani.
 
I don't have any experience on that, tho nilisoma sehemu, afu kuna mtu alinambia so unaweza iwe sawa
 
Kweli kabisa. Nimekupata vizuri. ❤🙏🏽❤. Una ushauri mzuri sana. Hiyo namba 4 inawezekana hivi mtu kupanga jinsia?
Tusubiri ambao wameshazaa watoe experience zao, mm niliwoma tu sehemu pia nikaambiwa na mtu, ila nahisi ni sahihi kutokana na muda wa tendo kilipofanyika.Jf kuna wataalam wengi utapewa jibu
 
Inaonesha unatingishika sana broo,
Kwani ukimkaushia unapatwa na nn? Unashindwaje kufanya maamuzi ya kiume ktk issue ndogo km hii aisee,! Mwambie tu alete proof kua mtoto ni wako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa unazingua sana kumbe ushamchumbia kabisa mtoto wa watu afuu unaanza kuleta story za kumkandamiza aonekane yeye ndo mbaya kumbe wewe ndo unakimbia majukumuu... Achaa ujingaa lea mwanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YOU GUY YOU ARE NOT SERIOUS... INAONEKANA BADO AKILI ZAKO CHANGA SANA. YAANI UNAJUA KABISA MTOTO SIO WAKO ALAFU BADO UNATAABIKA NA PRESHA, UMELOGWA KWA UCHAWI GANI HASA? AU ALIKUWEKEA MNOFU KATIKA UCHI WAKE NDIYO UKALA NA SASA UMEKUWA MTU WA KUONGEA KULIKO KUTENDA? ....................................

USHAURI WANGU NI HUU TU NA WENGI WAMEKUSHAURI SANA LAKINI HUU UZINGATIE...DON'T BE HONEST TOO MUCH, THE STRAIGHT TREE IS CUTTING FIRST, THE HONEST PEOPLE ARE ARE GOING TO DIE FIRST. "Usiwe mwema kupita kiasi, mti ulionyooka huwa wa kwanza kukatwa, watu wema huwa wa kwanza kufa"
 
Vip ulishapata majibu kama mtoto ni wako au vipi?
Ukirudi bongo hakikisha ukikutana na mwanamke tumia kinga, na usimwambie mwanamke ukweli wako atakutegeshea mimba.

Usije fanya kosa kuzaa na mwanamke usiempenda. Atasumbua ukoo mzima.

Ila na sisi wanawake ifike mahala tujitambue unaanzaje kumbambikiza mtoto mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…