Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Binafsi kwa kutumia jicho la tatu nimekuelewa dada, dah ama kweli BIASHARA MATANGAZO, ebu malizia kutupia na namba za simu tu na tangazo litimie maana kama ni picha zimeshatosha, AMA KWELI!!!!!
 
HIVI SASA MAREKANI IMEKUWA RAHISI SANA KWENDA
 
HIVI SASA MAREKANI IMEKUWA RAHISI SANA KWENDA
Kweli Trump amefanya mambo yamekuwa magumu. Na pia wiki hii kama ulisikia anataka kuweka Tanzania kuwa katika orodha ya nchi atakazozuia watu wake karibu wote wasije USA. Angalia google "travel ban tanzania" utaona. Pia kina huu uzi hapa unaweza kuufuatilia.

 

Mi naona Kama wanafanana.

Kwani hukujui kwao kujua Kama ana mtoto ama Hana? Tuma nduguzo wakamchunguze

Mtu hawezi sema mtoto wake ilihali Hana mtoto Tena ke??

Lea mtoto kwa kipindi ambacho upo huko hata Kama waona si wako. Kwani sh ngapi bwana??

Ukirudi nenda ustawi wa jamii mfanye prosesi za kupima DNA.

DNA hupimwa na mkemi Mkuu was Serikali kwa Oda ya ustawi wa jamii ama Mahakama tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana sana. Ushauri mzuri kabisa. Kwao ni moshi vijijini. Ila sikupenda kutuma mtu sababu walishanidanganya hio familia yake ili nisimwache mtoto wao. Kwa hio nao sio watu wa kuamini sana. Suala ni kwamba nimeshatumia resources nyingi na hadi inaudhi. Inabidi nitakalofanya sasa hivi litatue tatizo moja kwa moja. Nitatumia private investigator ampate halafu ukweli wote upatikane. Ila kumpa hela hapana. Ameshanitapeli mamilioni aisee. Nitawaletea updates hapa.
 
Nakushauri Fanya yafuatayo, tafuta mdau unaemwamini afanye investigation kuwa mtoto ni wa nani yaan mama na baba halisi wa mtoto. Hyo investigator wako uwe unamwamini haswa asije akanunuliwa nae tena akiwa Dada yako wa tumbo moja ndo vizuri zaidi maana mawifi noma, pili tuma hyo DNA kit kwa ajili ya upimaji na tatu tafuta mtu amtafune ili amjue kiundani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh kwel
mkuu kwa huyu dada ulichemka na ukicheki picha zake tu unasoma picha halisi huyu kikubwa kakwe ni pesa hakuna zaidi ya hapo
 
Nimependa hio. Asante sana mkuu kwa ushauri
 
duh kwel

mkuu kwa huyu dada ulichemka na ukicheki picha zake tu unasoma picha halisi huyu kikubwa kakwe ni pesa hakuna zaidi ya hapo
Alivyokuwa anachapa kazi. Yani acha tu. Pamoja niko na watu wanasaidia, alikuwa anafanya kazi kweli. Kupika, kusafisha nyumba, kuosha magari nk. Ila nilivyoondoka tu, nikaambiwa kazi akawa hafanyi. Ndio hivyo, ilikuwa acting tu
 
Mkuu mbona inshu ndogo sana hii umeshindwa kumblock huyu dada kila sehemu uendelee na maisha yako kweli?
 
Reactions: amu
[emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana na hiyo NB: yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona inshu ndogo sana hii umeshindwa kumblock huyu dada kila sehemu uendelee na maisha yako kweli?
Nilimblock kila sehemu. Ndio sasa akafuata ndugu, wafanyakazi nk. Amekuwa kero kwelikweli. Nilipenda iwe hivyo niachane naye. Pia sipendi wafanyakazi wangu wakaniona ni mtu natelekeza mtoto sababu nawahubiria sana hilo. Na napenda niwe mfano. Na ndugu pia wanavurugwa. Sasa inabidi nilishugulikie tu.
 
Hizi hapa ndio picha ndio zinaonyesha msichana niliyempenda. Hizo nyingine za amevaa kiajabu ni story nyingine. Ila alimtumia jamaa yake aliyenisaliti naye nilivyosafiri nje ya nchi. Nikaziona kwa facebook yake inbox sababu alitumia computer niliyokuja nayo USA kwa fb yake, halafu haku-log out. Kwa hio nikaona huo ujinga na jamaa yake. Wakati tayari alikuwa mchumba.

Alikuwa mchapa kazi wakati niko naye Tanzania. Ila nilivyoondoka nikaambiwa alikuwa anaamrisha tu watu na kukaa tu kwa kochi na ndio mambo kama hayo akawa anawasiliana na mahawara wake. Zote hizi zilikuwa ni mbwembwe tu.
 
NB:mkuu hizi USA tunaomba zipungue kwenye uzi

umeshindwaje kutuma mtu mmoja au wawili wamchunguze kimya kimya na kwa gharama zozote ili wapate ukweli? wakati unasema mpaka kwao unakufahamu?

ulianzaje kutumia polisi wakati bado ukweli haujaujua vizuri? au ni kwamba umekaa USA mpaka tabia za askari wa TZ umezisahau?

jitoe mhanga tafuta watu wawili mmoja akiwa ndugu yako awe nyuma ya hiyo mission ya kumpiga investigation ya kimyakimya utapata ukweli then mkaushie?

endapo ikiwa anakudanganya na ukaujua ukweli mkanye kwa fact then akiendelea kusumbua ofisini toa maelezo kuwa akionekana eneo hilo akamatwe akalale selo hata saa48 hatarudi tena


ila kama kweli mtoto ni wakwako mkuu nakusihii lea mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…