DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
- Thread starter
- #61
Ok. Noted. Jamani sifanyi makusudi. Mnisamehe kama ninakosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok. Noted. Jamani sifanyi makusudi. Mnisamehe kama ninakosea.
Kweli Trump amefanya mambo yamekuwa magumu. Na pia wiki hii kama ulisikia anataka kuweka Tanzania kuwa katika orodha ya nchi atakazozuia watu wake karibu wote wasije USA. Angalia google "travel ban tanzania" utaona. Pia kina huu uzi hapa unaweza kuufuatilia.HIVI SASA MAREKANI IMEKUWA RAHISI SANA KWENDA
Yeye si amenianika sana kwa ndugu zangu na kwa wafanyakazi wangu? Kwa jambo ambalo anajua ni utapeli? Na ametumia hizo videos? Na mzazi wa huyo mtoto amekubali atumike? Utakuta ndio wa yule mama aliyempatia mkojo atumie kwa kipimo. Wote ni matapeli tu na mkono wa sheria utawashukia. Nimeshachoka na abuses zao mimi. Ngoja tu.
Asante sana sana. Ushauri mzuri kabisa. Kwao ni moshi vijijini. Ila sikupenda kutuma mtu sababu walishanidanganya hio familia yake ili nisimwache mtoto wao. Kwa hio nao sio watu wa kuamini sana. Suala ni kwamba nimeshatumia resources nyingi na hadi inaudhi. Inabidi nitakalofanya sasa hivi litatue tatizo moja kwa moja. Nitatumia private investigator ampate halafu ukweli wote upatikane. Ila kumpa hela hapana. Ameshanitapeli mamilioni aisee. Nitawaletea updates hapa.Mi naona Kama wanafanana.
Kwani hukujui kwao kujua Kama ana mtoto ama Hana? Tuma nduguzo wakamchunguze
Mtu hawezi sema mtoto wake ilihali Hana mtoto Tena ke??
Lea mtoto kwa kipindi ambacho upo huko hata Kama waona si wako. Kwani sh ngapi bwana??
Ukirudi nenda ustawi wa jamii mfanye prosesi za kupima DNA.
DNA hupimwa na mkemi Mkuu was Serikali kwa Oda ya ustawi wa jamii ama Mahakama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri Fanya yafuatayo, tafuta mdau unaemwamini afanye investigation kuwa mtoto ni wa nani yaan mama na baba halisi wa mtoto. Hyo investigator wako uwe unamwamini haswa asije akanunuliwa nae tena akiwa Dada yako wa tumbo moja ndo vizuri zaidi maana mawifi noma, pili tuma hyo DNA kit kwa ajili ya upimaji na tatu tafuta mtu amtafune ili amjue kiundaniAsante sana sana. Ushauri mzuri kabisa. Kwao ni moshi vijijini. Ila sikupenda kutuma mtu sababu walishanidanganya hio familia yake ili nisimwache mtoto wao. Kwa hio nao sio watu wa kuamini sana. Suala ni kwamba nimeshatumia resources nyingi na hadi inaudhi. Inabidi nitakalofanya sasa hivi litatue tatizo moja kwa moja. Nitatumia private investigator ampate halafu ukweli wote upatikane. Ila kumpa hela hapana. Ameshanitapeli mamilioni aisee. Nitawaletea updates hapa.
mkuu kwa huyu dada ulichemka na ukicheki picha zake tu unasoma picha halisi huyu kikubwa kakwe ni pesa hakuna zaidi ya hapoWadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu matokeo yalikuwa negative kwa mimba mara positive ndio mtu akasema nimsachi. Sasa anatuma picha kwa ndugu zangu anasema nimemtekeza mtoto. Mimi kwa sasa sipo Tz niko abroad kwa hio hata DNA siwezi fanya. Ila amekuwa ghasia sana. Kuna picha amenitumia NAOMBA KAMA KUNA ANYEJUA HUYO NI MTOTO WA NANI ANIAMBIE SABABU MIMI NAJUA HUYO mdada amechukua tu mtoto wa mtu anapiga picha naye. Muda aliosema amezaa mahesabu yanakataa. Na kama nilivyosema, nilipima mwezi mmoja baada ya kuwa naye mara ya mwisho akakutwa hana, akalalamika akaomba warudie vipimo, akakutwa ana mimba. Basi ndio nilivyomsachi, nikakuta ana hicho kichupa amekificha kilichokua na mkojo. Ni mdada mrembo, lakini urembo bila roho ni kazi bure.
Picha zake na ya mtoto hizi hapa. Najua huyu ni mtoto wa mtu Fulani. Naomba mnisaidie sababu ghasia zake zimezidi kwa kweli na mimi mwaka jana niliacha kazi zangu USA nikanunua tiketi ya mamilioni nikaacha shughuli zangu nikarudi Tz kushughulikia ghasia zake za mimba za uongo, na sasa sitaki KUFANYA HIVYO tena. Naomba msaada wenu wadau.
PS: Napenda sana mtoto. Ila sijajaliwa bado sababu sijapata mke bado. Ndio wadada nakutana nao kama huyu ni utapeli mtupu. Ila hata sasa hivi nasomesha Watoto watatu wa marafiki tu, kwa hio sio kwamba sina uwezo wa kumsaidia. Lakini sitaki kumsaidia mtu tapeli. Na kama nilivyosema najua hata huyo mtoto sio wake. Namba hazikubali kabisa.
View attachment 1341634
VIDEO HII HAPA
View attachment 1341657
View attachment 1341631
View attachment 1341632View attachment 1341633
Nimependa hio. Asante sana mkuu kwa ushauriNakushauri Fanya yafuatayo, tafuta mdau unaemwamini afanye investigation kuwa mtoto ni wa nani yaan mama na baba halisi wa mtoto. Hyo investigator wako uwe unamwamini haswa asije akanunuliwa nae tena akiwa Dada yako wa tumbo moja ndo vizuri zaidi maana mawifi noma, pili tuma hyo DNA kit kwa ajili ya upimaji na tatu tafuta mtu amtafune ili amjue kiundani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyokuwa anachapa kazi. Yani acha tu. Pamoja niko na watu wanasaidia, alikuwa anafanya kazi kweli. Kupika, kusafisha nyumba, kuosha magari nk. Ila nilivyoondoka tu, nikaambiwa kazi akawa hafanyi. Ndio hivyo, ilikuwa acting tuduh kwel
mkuu kwa huyu dada ulichemka na ukicheki picha zake tu unasoma picha halisi huyu kikubwa kakwe ni pesa hakuna zaidi ya hapo
Kumbe wewe ni muelewa ukikosolewa.
Sasa fanya hivi mtafute ndugu yoyote unae shirikiana nae mama mmoja aende akapimwe DNA na huyo mtoto.
Unae shirikiana baba inaweza kuleta shida huenda wazazi nao ndio vile ....
Mkuu mbona inshu ndogo sana hii umeshindwa kumblock huyu dada kila sehemu uendelee na maisha yako kweli?Tulipima mkojo mara ya kwanza akakutwa hana mimba. Akalalamika kwamba jamani mbona juzi tu nilikuwa na mimba nimepimwa, Basi wakarudia. Ndio ikaonekana ana mimba. Basi nikaenda laboratory ya uhakika kabisa arusha. Wakasema kabla ya damu, tufanye mkojo, ndio akawa anazingua hataki kutoa sample. Baada ya kuzingua sana nikamsachi nikakuta ameficha hicho kichupa. Na yeye kipindi hicho alikubali kwamba amedanganya na kuomba msamaha. Baada ya muda ndio akaja na hio gear nyingine. Damu ilikuwa tupime lakini baada ya kumwona ana kichupa nikaona hakuna sababu.
[emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana na hiyo NB: yakoKaka hapo uliingia mkenge....ukimwangalia vizuri huyo mwanamke ana vigezo vyote vya ubaharia a.k.a chama la wana....Ninachokushauri mpotezee tu,waambie na ndugu zako ukweli wampuuze tu ashakuona unatingishika ndo maana anakutingisha.
NB😛unguza hizo USA kwenye maelezo mkuu,unatuumiza moyo sisi masikini tusio na hatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimblock kila sehemu. Ndio sasa akafuata ndugu, wafanyakazi nk. Amekuwa kero kwelikweli. Nilipenda iwe hivyo niachane naye. Pia sipendi wafanyakazi wangu wakaniona ni mtu natelekeza mtoto sababu nawahubiria sana hilo. Na napenda niwe mfano. Na ndugu pia wanavurugwa. Sasa inabidi nilishugulikie tu.Mkuu mbona inshu ndogo sana hii umeshindwa kumblock huyu dada kila sehemu uendelee na maisha yako kweli?
Umenichefua Sana mkuuIko hivi:
1. kama ni wako, usikimbie damu.
2. Kama ni wa mwenzako, kitanda hakizai haramu.
Either way,ni wajibuwako kulea mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtuHizi hapa ndio picha ndio zinaonyesha msichana niliyempenda. Hizo nyingine za amevaa kiajabu ni story nyingine. Ila alimtumia jamaa yake aliyenisaliti naye nilivyosafiri nje ya nchi. Nikaziona kwa facebook yake inbox sababu alitumia computer niliyokuja nayo USA kwa fb yake, halafu haku-log out. Kwa hio nikaona huo ujinga na jamaa yake. Wakati tayari alikuwa mchumba.
Alikuwa mchapa kazi wakati niko naye Tanzania. Ila nilivyoondoka nikaambiwa alikuwa anaamrisha tu watu na kukaa tu kwa kochi na ndio mambo kama hayo akawa anawasiliana na mahawara wake. Zote hizi zilikuwa ni mbwembwe tu. HAKIKA MAMBO YA MAPENZI OVYO OVYO TU MIMI, NIMEKOMAAAAA!!!
View attachment 1341736
View attachment 1341737
View attachment 1341738
View attachment 1341740