Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Kama kweli upo abroad fanya kilichokupeleka huko hizi shobo za kibongo tuachie wenyewe. Kuwa na mtoto au kutokuwa naye utashughulika nazo ukirudi
Stay focused my friend.
Huyu mdada hana uzuri wowote kama unavyodai
 
Kwa hiyo huyu ndio unamuita mrembo?

NB: Kuwa makini anaweza kukufungulia kesi ya saiba kraimu kwa kushare picha yake mtandaoni bila idhini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huyo mwanamke alishawahi kuwa bikra. Ujui Kuna watu wanafunguliwa bikra zao kwenye ukahaba. Tabia mbaya haina uhusiano na bikra.


Kutoa bikra kabla ya ndoani ndio ukahaba wenyewe huo Mkuu. Sasa ukahaba sio tabia mbaya.

Bikra ni kithibitisho cha tabia ya mwanamke kwenye ishu ya uzinzi. Kama hujui haya mambo ni bora ukae kimya.

Soma vitabu mbalimbali ujifunze. Mwanamke asiye na bikra akatooombwa na wanaume wengi hata mitoto anayoizaa inakuwa na tabia za hovyo. Hiyo ipo kisayansi.
 
Aidha unakula ubwabwa au udaga chagua kizuri kwako! Kuwa na mnyonyaji ingawa unamcontrol au kuwa na asiyeingilia ngawira zako lakini anakucontrol. Huwezi kupata mwanamke unamcontrol halafu asikutoe upepo unless ni joanah
 
Mkuu tatizo ni nini?Ulimla kavu?Mara ngap?Anachotaka ni nini?Ndoa?Matunzo?au anataka kukupa mtoto?Iko hivi mkuu,huna sababu ya kuweka picha yake mtandaoni na kusema kwamba kakudanganya au la?Huna hata sababu ya kuanza kupanick mpaka kusema uko USA.Kama mtoto ni wako,ni wako tu hata kama DNA itasema tofauti ila kama mama kasema ni wako basi ni wako tu.Usipanick.

Cha kufanya ni hivi.Wewe msikilize anachotaka ni nini hasa uelewe.Kisha mpe jibu ambalo unaamini ndo sahihi..kisha baada ya hapo usikilize jibu lake.Jibu atakalokupa kulingana na uamuzi wake ndo litaamua ufanye nini.

Kwa muonekana na uandishi wako inaonekana Umemzimia sana huyu dada ila haummudu yani kakuzidi ujanja kwa hio anajua namna ya kukujaza upepo.Kama mwanaume futa hzio picha na kisha mtafute wewe umsikilize kama ambavyo ulimsikiliza alipokupa papuchi.Acha uwoga.Wanaume hatuko hivyo
 
mkuu Yaani huyo ndiye mrembo ..acha masihara basiii....Hapo alipo lala na mtoto uso wake mbona umejikunja like anakamuliwa Kijipu uchungu ?.....Though anaonekana ni mjanja mjanja hapaswi kuwa na mwanaume ambaye ni mstaarabu....

halafu hivi huwa mnaupendo wa namna gani !! yaani mpaka umebaini kuwa binti kaficha chupa ya mkojo but still una wasiliana nae duh!
 
Baharia wa kike ana harakati za kizamani, binafsi sijafurahia kwa kweli, anazingua.

Pia wanaume muache kikojoa ovyo mtumie condom kiusahihi ili muepukane na hizi stress.
 
Sawa mkuu. Nimefuata ushauri. NA PICHA NIMESHAZIFUTA ZOTE.
 
ukute kuna watu wanatamani wamuombe namba mtoa mada ili wakale wao huyo demu dah wabongo sie
 
Duuuh!!! Hii kazi kweli kweli. Pole sana mkuu. Jitahd utoke katika hilo janga. Mwenyez Mungu atakusaidia. Na uwe makini katika kuchagua mke.
 
Mm nahisi kama anatudanganya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…