seyayi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 683
- 811
Umesahau kubinua midomo[emoji23]Mwanamke akishapiga picha za kujibinua binua tu huwa naona ana tatizo mahali
Wanaume tusikojoe kojoe kila sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kubinua midomo[emoji23]Mwanamke akishapiga picha za kujibinua binua tu huwa naona ana tatizo mahali
Wanaume tusikojoe kojoe kila sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sitakuunganisha nae tumia ndugu zake mie mtu mkubwa nchini sifanyi deals za kitotoPoa poa. Tutawasiliana ASAP
Kama kweli upo abroad fanya kilichokupeleka huko hizi shobo za kibongo tuachie wenyewe. Kuwa na mtoto au kutokuwa naye utashughulika nazo ukirudiWadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu matokeo yalikuwa negative kwa mimba mara positive ndio mtu akasema nimsachi. Sasa anatuma picha kwa ndugu zangu anasema nimemtekeza mtoto. Mimi kwa sasa sipo Tanzania niko abroad kwa hio hata DNA siwezi fanya.
Ila amekuwa ghasia sana. Kuna picha amenitumia NAOMBA KAMA KUNA ANYEJUA HUYO NI MTOTO WA NANI ANIAMBIE SABABU MIMI NAJUA HUYO mdada amechukua tu mtoto wa mtu anapiga picha naye. Muda aliosema amezaa mahesabu yanakataa. Na kama nilivyosema, nilipima mwezi mmoja baada ya kuwa naye mara ya mwisho akakutwa hana, akalalamika akaomba warudie vipimo, akakutwa ana mimba. Basi ndio nilivyomsachi, nikakuta ana hicho kichupa amekificha kilichokua na mkojo. Ni mdada mrembo, lakini urembo bila roho ni kazi bure.
Picha zake na ya mtoto hizi hapa. Najua huyu ni mtoto wa mtu Fulani. Naomba mnisaidie sababu ghasia zake zimezidi kwa kweli na mimi mwaka jana niliacha kazi zangu USA nikanunua tiketi ya mamilioni nikaacha shughuli zangu nikarudi Tz kushughulikia ghasia zake za mimba za uongo, na sasa sitaki KUFANYA HIVYO tena. Naomba msaada wenu wadau.
PS: Napenda sana mtoto. Ila sijajaliwa bado sababu sijapata mke bado. Ndio wadada nakutana nao kama huyu ni utapeli mtupu. Ila hata sasa hivi nasomesha Watoto watatu wa marafiki tu, kwa hio sio kwamba sina uwezo wa kumsaidia. Lakini sitaki kumsaidia mtu tapeli. Na kama nilivyosema najua hata huyo mtoto sio wake. Namba hazikubali kabisa.
View attachment 1341634
VIDEO HII HAPA
View attachment 1341657
View attachment 1341631
View attachment 1341632View attachment 1341633
Ni tapeli, mwongo, na msaliti. Ni muuaji kabisa huyo.
Kwa hiyo huyu ndio unamuita mrembo?Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu matokeo yalikuwa negative kwa mimba mara positive ndio mtu akasema nimsachi. Sasa anatuma picha kwa ndugu zangu anasema nimemtekeza mtoto. Mimi kwa sasa sipo Tanzania niko abroad kwa hio hata DNA siwezi fanya.
Ila amekuwa ghasia sana. Kuna picha amenitumia NAOMBA KAMA KUNA ANYEJUA HUYO NI MTOTO WA NANI ANIAMBIE SABABU MIMI NAJUA HUYO mdada amechukua tu mtoto wa mtu anapiga picha naye. Muda aliosema amezaa mahesabu yanakataa. Na kama nilivyosema, nilipima mwezi mmoja baada ya kuwa naye mara ya mwisho akakutwa hana, akalalamika akaomba warudie vipimo, akakutwa ana mimba. Basi ndio nilivyomsachi, nikakuta ana hicho kichupa amekificha kilichokua na mkojo. Ni mdada mrembo, lakini urembo bila roho ni kazi bure.
Picha zake na ya mtoto hizi hapa. Najua huyu ni mtoto wa mtu Fulani. Naomba mnisaidie sababu ghasia zake zimezidi kwa kweli na mimi mwaka jana niliacha kazi zangu USA nikanunua tiketi ya mamilioni nikaacha shughuli zangu nikarudi Tz kushughulikia ghasia zake za mimba za uongo, na sasa sitaki KUFANYA HIVYO tena. Naomba msaada wenu wadau.
PS: Napenda sana mtoto. Ila sijajaliwa bado sababu sijapata mke bado. Ndio wadada nakutana nao kama huyu ni utapeli mtupu. Ila hata sasa hivi nasomesha Watoto watatu wa marafiki tu, kwa hio sio kwamba sina uwezo wa kumsaidia. Lakini sitaki kumsaidia mtu tapeli. Na kama nilivyosema najua hata huyo mtoto sio wake. Namba hazikubali kabisa.
View attachment 1341634
VIDEO HII HAPA
View attachment 1341657
View attachment 1341631
View attachment 1341632View attachment 1341633
Hata huyo mwanamke alishawahi kuwa bikra. Ujui Kuna watu wanafunguliwa bikra zao kwenye ukahaba. Tabia mbaya haina uhusiano na bikra.
Aidha unakula ubwabwa au udaga chagua kizuri kwako! Kuwa na mnyonyaji ingawa unamcontrol au kuwa na asiyeingilia ngawira zako lakini anakucontrol. Huwezi kupata mwanamke unamcontrol halafu asikutoe upepo unless ni joanahMademu wa kizungu nimeshakuwa naye. Ila wanaku-control sana sana na pia wanakuzuia usirudi kwenu. Wanataka ubakie tu nchi za watu. Mimi sijapenda hio. Brothers wangu wawili wameoa wazungu na Tz hawajakanyaga miaka na miaka. Mimi wa kwangu pia alikuwa controlling sana na Tz hakupapenda.
Jamaa yeye kasema ni mrembo sana sasa nashangaa mnavyombishia mwenye alikuwa na naye.Uliingiaje kwa demu huyu? Mbona kiwango kidogo sana mkuu. Ndio maana waumia sasa.
Marekani ni rahisi sana kwenda sema tu hamjuiHIVI SASA MAREKANI IMEKUWA RAHISI SANA KWENDA
Sawa mkuu. Nimefuata ushauri. NA PICHA NIMESHAZIFUTA ZOTE.Mkuu tatizo ni nini?Ulimla kavu?Mara ngap?Anachotaka ni nini?Ndoa?Matunzo?au anataka kukupa mtoto?Iko hivi mkuu,huna sababu ya kuweka picha yake mtandaoni na kusema kwamba kakudanganya au la?Huna hata sababu ya kuanza kupanick mpaka kusema uko USA.Kama mtoto ni wako,ni wako tu hata kama DNA itasema tofauti ila kama mama kasema ni wako basi ni wako tu.Usipanick.
Cha kufanya ni hivi.Wewe msikilize anachotaka ni nini hasa uelewe.Kisha mpe jibu ambalo unaamini ndo sahihi..kisha baada ya hapo usikilize jibu lake.Jibu atakalokupa kulingana na uamuzi wake ndo litaamua ufanye nini.
Kwa muonekana na uandishi wako inaonekana Umemzimia sana huyu dada ila haummudu yani kakuzidi ujanja kwa hio anajua namna ya kukujaza upepo.Kama mwanaume futa hzio picha na kisha mtafute wewe umsikilize kama ambavyo ulimsikiliza alipokupa papuchi.Acha uwoga.Wanaume hatuko hivyo
Mm nahisi kama anatudanganya tuuHalafu, wewe unasema mimba ilikuwa negative, mara uliporudia ikawa postive na ulipom-search ukamkuta na kikopo.
Kwahiyo ukaridhika na majibu yapi? Kwanini msingepima damu ili waone hormonal levels?
Wewe mtu wa Marekani mwenye uwezo wa mamilioni ulienda Hospital au Zahanati?