Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tabia ni kama ngozi kaka yangu , na pesa nipesa tu hiyo tabia alikuwa nayo bali wewe hukumjua tu, pole ila ndiyo kujifunzaKama alivyosema Single Phase, ni kweli tunakurupuka tu. Huyo mdada nilimpa kila alichotaka, na shule nikamweka. Pete, familia yake, pocket money ya kutosha. Bado hakuridhika akanisaliti hata wiki 2 hazikuisha baada ya kusafiri. Utanilaumu hapo? Kweli nilikurupuka kumfanya mchumba. Hakustahili kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app