Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Kama alivyosema Single Phase, ni kweli tunakurupuka tu. Huyo mdada nilimpa kila alichotaka, na shule nikamweka. Pete, familia yake, pocket money ya kutosha. Bado hakuridhika akanisaliti hata wiki 2 hazikuisha baada ya kusafiri. Utanilaumu hapo? Kweli nilikurupuka kumfanya mchumba. Hakustahili kabisa
Tabia ni kama ngozi kaka yangu , na pesa nipesa tu hiyo tabia alikuwa nayo bali wewe hukumjua tu, pole ila ndiyo kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wanaume mnasema huyo dada mbaya;nyie wanawake zenu wazuri?
Sasa hawa wanawake walojaa huku mitaani wengi wa kawaida tu wanaume zao walikufa?
Mtoa mada weka na picha yako,huenda ukawa hata mbili kimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa utakuta anayesema mbaya, mkimlinganjsha wakwake na huyo malikia [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana sana. Ushauri mzuri kabisa. Kwao ni moshi vijijini. Ila sikupenda kutuma mtu sababu walishanidanganya hio familia yake ili nisimwache mtoto wao. Kwa hio nao sio watu wa kuamini sana. Suala ni kwamba nimeshatumia resources nyingi na hadi inaudhi. Inabidi nitakalofanya sasa hivi litatue tatizo moja kwa moja. Nitatumia private investigator ampate halafu ukweli wote upatikane. Ila kumpa hela hapana. Ameshanitapeli mamilioni aisee. Nitawaletea updates hapa.

Hapo sawa

Investigation ya muhimu.

Hayo mamilioni ulitumia ya nini?

Sisi huku mtoto analelewa haizidi laki kwa mwezi labda Kama Ni mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sawa

Investigation ya muhimu.

Hayo mamilioni ulitumia ya nini?

Sisi huku mtoto analelewa haizidi laki kwa mwezi labda Kama Ni mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi ninunue tiketi ya kurudi tena tanzania halafu na ya kurudi tena abroad kwa shughuli zangu (Air return ticket). Hio ni 3 million, bado gharama nyingine za matumizi tz nk. Nilikuwa nimeondoka tu Tz hata mwezi haujaisha, ndio matatizo yakaanza ikabidi nirudi kusawazisha. Tatizo nilikuwa nimeshamchumbia na akawa anakaa kwangu. Akakataa kuondoka huku anasema ana mimba yangu na pia anasema atajiua kwa nyumba yangu nikimwacha nk. Yalikuwa matatizo ikabidi nirudi na ilinigharimu sana sababu ilikuwa ni safari ambayo sikuipanga.
 
Japo pia kuna wanaojifanya ni wacha Mungu wako kanisani kumbe ni masimba kwa ngozi ya kondoo. Siku hizi imekuwa ngumu sana kumjua mtu. Najua watu wengi ndoa zao ni za kanisani na hata kwa mwaka mmoja hazikudumu.
Ndio nikakwambia pale mwanzo muombe Mungu kwa imani yako atakuonyesha palipp pema, bado Mungu hajaishiwa watu. Usimwamini MTU kwa kigezo cha kanisa " waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache" Neno linasalinasema wazi.
 
Tulipima mkojo mara ya kwanza akakutwa hana mimba. Akalalamika kwamba jamani mbona juzi tu nilikuwa na mimba nimepimwa, Basi wakarudia. Ndio ikaonekana ana mimba. Basi nikaenda laboratory ya uhakika kabisa arusha. Wakasema kabla ya damu, tufanye mkojo, ndio akawa anazingua hataki kutoa sample. Baada ya kuzingua sana nikamsachi nikakuta ameficha hicho kichupa. Na yeye kipindi hicho alikubali kwamba amedanganya na kuomba msamaha. Baada ya muda ndio akaja na hio gear nyingine. Damu ilikuwa tupime lakini baada ya kumwona ana kichupa nikaona hakuna sababu.

Mnapata wapi watu wa hivi
Aisee wanaume mna kazi sana poleni
 
Hii kesi nzito sana kwa kuwa uko marekani ipeleke balaza la usalama la umoja wa mataifa usikie wazee wa veto wanasemaje
 
Inaonekana alikuwa anapigana juu chini ili ionekane ana ujauzito wako. Pole mkuu kwa hilo maana uliingia sehemu sio
DAH
MMENIKUMBUSHA JUU YA MTOTO WA ASKOFU MMOJA NCHINI ALIEFARIKI KARIBUNI
WANAWAKE HAWA ACHENI TU ...
MKUU DNA SIO DILI HASA KWAKO NAAMINI UKO VYEMA UKIFIKA MDA UKAJA DAR NENDA NAE TU DNA

USHAURI

VYEMA UKIFANYA DNA UANZISHE NA THREAD YAKE TUPATE EXP WENGINE SIJAKUTISHA LKN
 
CHA PILI MKUU

NENDA HOSP CHELI NA GYNO PIMA SHAHAWA KE ZINA UWEZO WA KUTOA MTOTO

HII ITAKUSAIDIA KUJUA UNAANZIA WAPI
NDOA NYINGI ZINAUMIA WANAWAKEPEKEE NDIO WANA SHIDA YA UZAZI

UKIPATA MAJIBU YA HITILAFU YOYOTE SINA NIA MBAYA WALA USIPOKEE SIMU YAKE JUA ANAKUCHEZEA HUYO

JIPIGILIE MADAWA NJOO DAR INBOX NIKUPE KAMWANA KAKO MOTO UKIMWAGA KANAJAA HAPO HAPO...TUNATENGENEZA MJOMBA ACJANA NAHAO MATAPELI
 
Kuna laboratory zipi arusha wanafanya DNA? Kama una information nitashukuru sana. Naamini Lancet laboratories wanafanya, ila ningependa kuwa na options kadha wa kadha.
Hii story yako imenikumbusha mbali, unajua wadada tumekuwa na shahuku ya ndoa sasa inakera sana,hayo yote analazimisha ndoa. Kuna Shoga yangu alimbambikizia mwanaume mtoto nikambembeleza hatopata amani akagoma, akalazimisha huyo Mme akamuoa, ukawa ni mwendo wa kunitumia picha za harusi kama vile ananiringishia kaolewa.ikabidi nipunguze urafiki maana kweli yule mtoto sio wa Mme wa ndoa.

Baada ya miezi sita vurugu na visanga vikaanza ndoa si ndoa nikamshauri atubu kwa Mme wake akagoma nikakaa pembeni. Nachoamini ile ndoa haiwezi fika popote.uongo ni dhambi kubwa.

Nachoamini hakuna mapenzi bila amani.yawezekana anataka child support ila katumia njia ya kishamba sana, sijui mlikutana wap maana hizo ghasia anazowaletea wazazi wako sidhani kama hata shule kichwani mwake anayo.

Sasa wewe punguza stress ongea na ndugu zako huyo mwanamke block, maana utashindwa kufanya kazi zako. Kata mawasiliano kwa sasa mpaka utakaporudi. Mwende hospital mkapime DNA

Hawezi leta vurugu zaid ya miezi 6, atafika mwisho aache Kuhusu kuwaletea vurugu ndugu zako, waambie akileta vurugu wapeleke police embu jifanye kama humjui tuone nn kitatokea.

Huwezi lazimisha mwanaume akupende kwa kumtafutia vikwazo.sikio halizidi kichwa.
 
Back
Top Bottom