Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ukome kiherehre sasa ulimfahamisha mpaka kwa watu wanao kusaidia huo ni udhaifu wako ubebe!! wenzako wanaanzaga kwa kuibia hukooo halafu hatusemagi ukweli kwanza eti niko USA mweeee! naanza km kapuku smart nikishaona analipa ndo nampa ukweli!Shida ni huyu msichana ghasia zake. Anasumbua ndugu, anasumbua wafanya kazi wanaonisaidia Tz. Analeta ghasia ili kuharibu mambo yangu kwa kumtumia mtoto ambaye najua hata yeye hana.