Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Shida ni huyu msichana ghasia zake. Anasumbua ndugu, anasumbua wafanya kazi wanaonisaidia Tz. Analeta ghasia ili kuharibu mambo yangu kwa kumtumia mtoto ambaye najua hata yeye hana.
Ukome kiherehre sasa ulimfahamisha mpaka kwa watu wanao kusaidia huo ni udhaifu wako ubebe!! wenzako wanaanzaga kwa kuibia hukooo halafu hatusemagi ukweli kwanza eti niko USA mweeee! naanza km kapuku smart nikishaona analipa ndo nampa ukweli!
 
Vip ulishapata majibu kama mtoto ni wako au vipi?
Ukirudi bongo hakikisha ukikutana na mwanamke tumia kinga, na usimwambie mwanamke ukweli wako atakutegeshea mimba.

Usije fanya kosa kuzaa na mwanamke usiempenda. Atasumbua ukoo mzima.

Ila na sisi wanawake ifike mahala tujitambue unaanzaje kumbambikiza mtoto mtu?
Dada usiwalaumu hao wadada!! wafanyeje sasa na wao wanataka maisha mazuri!! tatizo ni hawa rugumya, misifa miiingi mara utasikia ''yooo wasape meen!! america yooo! yoo! Bush men!!!!
 
Ahaaa unayoitamka sasa yoooo wasap men ahaaa.
Mimi siwalauma maana hata mimi maisha safi napendakwakweli mwanaume ambae hana vijisent mmh nisiwe mnafiki nadhani siwezi.
 
Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani s
Njoo tupate wetu
 
Ahaaa unayoitamka sasa yoooo wasap men ahaaa.
Mimi siwalauma maana hata mimi maisha safi napendakwakweli mwanaume ambae hana vijisent mmh nisiwe mnafiki nadhani siwezi.
Yaani baby ukimpata nyarusare mbona utafurahi vumilia tu!! ila tutafutane!
 
Vip ulishapata majibu kama mtoto ni wako au vipi?
Ukirudi bongo hakikisha ukikutana na mwanamke tumia kinga, na usimwambie mwanamke ukweli wako atakutegeshea mimba.

Usije fanya kosa kuzaa na mwanamke usiempenda. Atasumbua ukoo mzima.

Ila na sisi wanawake ifike mahala tujitambue unaanzaje kumbambikiza mtoto mtu?
Alikiri kwamba mtoto si wangu baada ya kumwambia lazima tupime DNA. Alikataa kupima.
 
Dada usiwalaumu hao wadada!! wafanyeje sasa na wao wanataka maisha mazuri!! tatizo ni hawa rugumya, misifa miiingi mara utasikia ''yooo wasape meen!! america yooo! yoo! Bush men!!!!
Wala mimi sijionyeshi. Sifanyi show off kabisa. Huo utoto nawaachia watoto. Maisha yangu tu Mungu kanibariki na inaonyesha
 
Hopefully una amani sasa na Kuna ulichojifunza kutoka kwa huyo bi dada.
Usifanye tena kosa hasa wakati wa kuchagua mweza wa maisha.
Maisha ni mafupi na magumu ukikosea kuchagua wa kuishi nae kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom