Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Ngoja uje sutwa na matarumbeta Ndo utajua umbea ni nn
miss you too king
mbona kimya sana mpenzi?
do you know what i am really going through when you are absent?
i miss you for sure sweetheart...!
nipo sana kuna ka project kananiweka busy kidogo ukiona sipo chepuka kwa step ruksa ila angalia ustekwe mazima lol
hahahaa! come on mamii, mbona hatuambiani your busyness? abt michepuko, hm! ngoja nifikirie!
Unafahamu kupitia umbea unaweza kumuua mwenzako kwa ajili ya mineno yako ya kimbea? plse jamani. Kumtangazia tu mwenzako umbea ambao haupo ni shida plse usijisifie umbea ni tabia mbovu kabisa.... kuna rafiki yangu mmoja wa Arusha yeye na mmewe walikuwa wambea wa kupitiliza marafiki wakawa hawakai nao....mwisho wapo tu wenyewe hata wakiingia mahali watu wanahama.Mmh,hyo video nimeiona ila umbea wangu sio wa kiivyo wa kiswahil sana,yaan nipo classic na heshima zangu tupo kama crew ya wanaume 17 kwa umbea hatar,ila sio wa kiroko umbea wa ki digital ambao kila mmoja wenu nadhan anayo hii tabia,ukimuona mtu kapita na demu kosa utachambuliwa na kusambaziwa mbovu had utahama,umbea mtamu sisi wenyew kweny kundi letu mmoja akiwa hayupo lazima tuku disscuss hatu ba kish mtu kweny umbea ubest pemben tunakupa makavu tu
Kwa kuongezea, wambea huwa hawadanganyi au kusema uongo hata siku moja kwani kazi ya mbea ni kufuatilia mambo ya watu ila tu kama auwi kero kwa jamii,kama huna mda na mtu sawa ila ukipita jitahid tu kusalimia afu fanya yako,sisi hatuna tatizo na wew,ukiwa kinyume mbona utahama mtaa
Siku zote watu wenye fikra duni(akili ndogo) kazi yao ni kujadili watu. Waone wana saikolojia au falsafa watakusaidia.
Ni PM nikutafutie Kazi ya Kufanya
hahahaa! come on mamii, mbona hatuambiani your busyness? abt michepuko, hm! ngoja nifikirie!
hivi unapomsalimia na kumuuliza maswali kuhusu life style yake si umbea? mfano mkeo hajambo? unajibiwa hajbo then anakuambia kasafiri labda unadakia kaenda wapi??? HUU SIO UMBEA?
hahaaaaaaaa nimechekaje kweli binamu wapenda umbea