Napenda sana umbea

Napenda sana umbea

vizuri shida yako wewe hujui kuwa umbea una faida kubwa kuliko hasara...safi endelea tu....
 
Mmmmmmh
Kama ni mwanaume hii ni hatari
 
mbona kimya sana mpenzi?

do you know what i am really going through when you are absent?

i miss you for sure sweetheart...!

nipo sana kuna ka project kananiweka busy kidogo ukiona sipo chepuka kwa step ruksa ila angalia ustekwe mazima lol
 
nipo sana kuna ka project kananiweka busy kidogo ukiona sipo chepuka kwa step ruksa ila angalia ustekwe mazima lol

hahahaa! come on mamii, mbona hatuambiani your busyness? abt michepuko, hm! ngoja nifikirie!
 
hahahaa! come on mamii, mbona hatuambiani your busyness? abt michepuko, hm! ngoja nifikirie!

usijali nitakwambia via pm mpaka ufikirie nimepapenda hapo unakuwa sasa fanya uachane na teamB
 
Mmh,hyo video nimeiona ila umbea wangu sio wa kiivyo wa kiswahil sana,yaan nipo classic na heshima zangu tupo kama crew ya wanaume 17 kwa umbea hatar,ila sio wa kiroko umbea wa ki digital ambao kila mmoja wenu nadhan anayo hii tabia,ukimuona mtu kapita na demu kosa utachambuliwa na kusambaziwa mbovu had utahama,umbea mtamu sisi wenyew kweny kundi letu mmoja akiwa hayupo lazima tuku disscuss hatu ba kish mtu kweny umbea ubest pemben tunakupa makavu tu
Unafahamu kupitia umbea unaweza kumuua mwenzako kwa ajili ya mineno yako ya kimbea? plse jamani. Kumtangazia tu mwenzako umbea ambao haupo ni shida plse usijisifie umbea ni tabia mbovu kabisa.... kuna rafiki yangu mmoja wa Arusha yeye na mmewe walikuwa wambea wa kupitiliza marafiki wakawa hawakai nao....mwisho wapo tu wenyewe hata wakiingia mahali watu wanahama.
 
Kwa kuongezea, wambea huwa hawadanganyi au kusema uongo hata siku moja kwani kazi ya mbea ni kufuatilia mambo ya watu ila tu kama auwi kero kwa jamii,kama huna mda na mtu sawa ila ukipita jitahid tu kusalimia afu fanya yako,sisi hatuna tatizo na wew,ukiwa kinyume mbona utahama mtaa

Watu kama nyie hamnipi shida, mimi sio mbea ila napenda kufatilia mambo binafsi tena naweza nikakuzidi, pia nipo kimya sana na hata kama najua issue za watu huwa najifanya kama sijui.
 
Siku zote watu wenye fikra duni(akili ndogo) kazi yao ni kujadili watu. Waone wana saikolojia au falsafa watakusaidia.

WHAT DO YO DISCUSS?
Great mind discuss IDEAS
Average mind discuss EVENT
Small mind discuss PEOPLE.
By Aristotle.
 
hivi unapomsalimia na kumuuliza maswali kuhusu life style yake si umbea? mfano mkeo hajambo? unajibiwa hajbo then anakuambia kasafiri labda unadakia kaenda wapi??? HUU SIO UMBEA?

Umbea sio kuuliza bali kuongea mambo binafsi ya wengine. Kama umeuliza kaenda wapi ukaambiwa ameenda Zanzibar ukauliza tena ameenda kufanya nini na maswali mengine kibao hapo unakuwa hujafanya umbea, ila baada ya kuambiwa hivyo na wewe ukaenda kusema kwa watu bila sababu ya msingi ndio umbea.
 
Back
Top Bottom