Napenda sana wanawake wa kikatoliki

Napenda sana wanawake wa kikatoliki

Ngoja na waliwakula wa Kwa mwamposaa nao watupe mrejeshwa😂😂😂

Hv mwamposaa n wa dhehebu gan mkuu
Hana dhehebu Ile ni km mkutano wa hadhara mbele ya Motivational speaker, humtofautishi na Irene Uwoya
 
Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.

Nmemaliza.
Pombe + Kitimoto. Ndio ugonjwa wao mkubwa wa Dada wa RC
 
Hua najaribu kuangalia sisi wanaume wakatoliki, na hasa tuliopita seminary ni kama hua tuna akili na focus kuliko watu wengine
 
Udini kweny hii mada uko wapi mkuu??

Na watu wanaoanzishaga uzi wakisema wanapenda wanawake wa kipare nao wanaleta ukabila??

Grow up
Mimi ni grow up au wewe?

Hujui madhara ya udini wewe. Subiri yatokee ndio utajua kama ume grow up au ume grow down

Usilazimishe viashiria vya udini nakushauri sana aisee
 
Kumbe ndivyo walivyo Wakatoliki? Huyu Church Boy wangu ameniteka kwa upendo, nimepagawa kumbe hata dini yake inachangia, dah.

Wakatoliki tuoneeni huruma wenzenu, mtatuua kwa mahaba! Lols
Kwa hiyo kuanzia sasa wewe ni Maria
 
Mimi ni grow up au wewe?

Hujui madhara ya udini wewe. Subiri yatokee ndio utajua kama ume grow up au ume grow down

Usilazimishe viashiria vya udini nakushauri sana aisee
Sijui unatoa wapi hayo mawazo ila ni ya kitoto sana ndo maana nakwambia Grow up, inawezekana una umri mkubwa but akili yako bado haijapevuka.

Kuna kitu kinaitwa "Preference", kila mtu ana preferences zake, wengine utasikia wanasema wanapenda wanawake wa kisukuma haimaanishi wana ukabila au wanawake wa makabila mengine ni wabaya, wengine utasikia wanapenda wanawake weny matako haimaanishi wana bagua wanawake flat au kwamba wanawake flat ni wabaya..hapana ni preference tuu na hata mm kusema napenda wanawake wa kikatoliki ni kwasababu kuna tabia wanazo nimeziona ambazo zina uhusiano somehow na dini yao lakini haimaanishi kwamba wanawake wa kisabato, kkkt, walokole sio wazuri, la hasha ni preference tuu.

Hata wewe una preference zako, kila mtu ana preference zake.

Tafadhali tusipangiane cha kupenda na cha kuchukia.
 
Back
Top Bottom