princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Ila wakaka wa kikatoliki ndo wanaongoza kwa kutokuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OA KANISA SASAWadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
SurePombe + Kitimoto. Ndio ugonjwa wao mkubwa wa Dada wa RC
Sidhani kama inawezekana 😆 😆OA KANISA SASA
Mi sio mkatoliki ila mbona kama naona wakatoliki wanaoa sanaIla wakaka wa kikatoliki ndo wanaongoza kwa kutokuoa
Hao Sio rahisi kuwabadilisha dhehebuNapenda wasabato😀😀
Sio sana kulingana na idadi yaoMi sio mkatoliki ila mbona kama naona wakatoliki wanaoa sana