Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Shaka hamna ila serikal ifanye ili kuondoa mashaka kwa watu wenye kutilia shaka

Luka 18:27 BHN​

Yesu akajibu, “Yasiyowezekana kwa binadamu, yanawezekana kwa Mungu.”

MH. MAGUFULI ameisha aga dunia tumuombee kwa mungu,kubalini tuendelee na maisha mengine ndugu zangu.
 
Kwanza acha uongo na kukurupuka (mfano kusema moshi ulimtokea akiwa Mtwara, kusema watu wanasema kumbe ni wewe mwenyewe na...)

Pili acha kulazimisha jagi liingie kwenye kikombe mtu akifa kafa tu ukiunda tume kisha majibu watakayotoa yatasaidia nini, labda kwenye hakuna
 
Mkiwa na hamu ya 'kuolewa' mnakuwa na gubu sana nyie watu.
 
Wakati sisi tunashukuru, wewe unataka afufuliwe! Hovyo kweli
 
Wengine tunapendekeza iundwe tume huru ichunguze watu aliyowauwa na wale aliyowapora mali zao hata hivyo kazi ya Mungu haina makosa na jina lake lihimidiwe.
 
Wengine tunapendekeza iundwe tume huru ichunguze watu aliyowauwa na wale aliyowapora mali zao hata hivyo kazi ya Mungu haina makosa na jina lake lihimidiwe.
Kwa uandishi huu!! Wewe si mwenze2
 
Iundwe kwanza ya
Ben Sanane
Anzory Gwanda
Akwilin
Alphonso mawazo n co.
Iundwe pia ya kuchunguza manunuzi haramu ya ndege!
Shambulio la lisu.
Nk
 
Tanga lina tapatapa
 
Ungeunda Wewe mwenye hiyo Shida sisi tumwamini Rais wetu Mama Samia alivyotuambia
 
sihusiki katika uchunguzi, serikali iliyoko madarakani ndo wahusika.
Kama huusiki basi sikiliza wahusika. wamekueleza ni tatizo la moyo lililomsumbua kwa miaka 10 ndo sababu ya kifo sasa kama wewe unajua ambayo samia na serikali yake hawajui ndo useme bila kumung'unya maneno tukusikie.
 
😂😂😂😂 sure itabidi wamfuate... ingawa sometimes I understand their frustrations imagine uliunga juhudi halafu ghafla tu Chuma kimeondoka, lazima utapetape
Kuna njia moja, kwa sababu mwanakwendazake harudi tena, wao wamfuate huko!
 
Kama akili zenyewe ndio hizi ndio maana meko aliweza kutuburuza hovyo,meko ameendesha nchi huku akivunja katiba mara kwa mara.Mnahangaika na mtu ambae alikua hajali afya yake,mtu anaambiwa ili kujikinga na corona unatakiwa uvae barakoa yeye hataki,kama ukiwaambiwa kilichomuua meko ni corona,wewe utakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…