Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuwashia nini, unajisumbua. Tume huru iundwe kwa uchunguzi wa kifo cha Magufuli. Zidi umia tu!Hiyo tume usitegemee kusikia imeundwa. Haina sababu wala msingi.
Mkiwa na hamu ya 'kuolewa' mnakuwa na gubu sana nyie watu.Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Ndo ujue jogoo la shamba haliwiki mjiniMore of that nyuma ya huyo samia kuna watu
Kwa uandishi huu!! Wewe si mwenze2Wengine tunapendekeza iundwe tume huru ichunguze watu aliyowauwa na wale aliyowapora mali zao hata hivyo kazi ya Mungu haina makosa na jina lake lihimidiwe.
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Tanga lina tapatapaWewe ni mpumbavu na mzandiki!
Kwanini walipokuwa wakitekwa watu na kuuawa ulikuwa hutaki tume huru ya kuchunguza matukio hayo?
Iundwe kwanza tume ya kuchunguza aliyemteka Ben saanane, Azor gwanda, waliomshambulia Mh Lisu, uchunguzi juu ya zile maiti zilizokuwa zinaonekana fukweni zikiwa kwenye viroba pamoja na mateso waliyokuwa wakipewa wafungwa wa kisiasa kipindi cha magufuli.
Hakuna mtanzania mwenye haki zaidi ya mwingine! Kama ni uchunguzi tutaanza kwa namba...
Nyie watu acheni ubaguzi na kujiona wa muhimu kuliko mliokuwa mkiwapoteza
Ungeunda Wewe mwenye hiyo Shida sisi tumwamini Rais wetu Mama Samia alivyotuambiaHabar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Kama huusiki basi sikiliza wahusika. wamekueleza ni tatizo la moyo lililomsumbua kwa miaka 10 ndo sababu ya kifo sasa kama wewe unajua ambayo samia na serikali yake hawajui ndo useme bila kumung'unya maneno tukusikie.sihusiki katika uchunguzi, serikali iliyoko madarakani ndo wahusika.
Namajina yao Sasa,yahifadhiwe katika makabati yote ya Africa.Waliomuua mwendakuzimu wanapaswa kupewa zawadi ya mabikira 7 kwa mpigo make walifanya kazi tukufu.
Utakuwa mpuuzi wewe raisi ni mtu. Akisema amemlala bi mkubwa wako kwa nyuma. Utakubali kwakuwa unammwamini ?Ungeunda Wewe mwenye hiyo Shida sisi tumwamini Rais wetu Mama Samia alivyotuambia
Kuna njia moja, kwa sababu mwanakwendazake harudi tena, wao wamfuate huko!
Kwani JPM alikufa kama kuku?Tunadai mkuu maana Rais wa Nchi hawezi kufa kama kuku