Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaan ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma
Serikal iheshim mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule mosh ulio mfata Hayat Magufuli Mtwara alipo kua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadh ya mbinu za kutaka kujaribu na zili shindwa Lakin walio jaribu hawakuacha
Huwezi kusema ule ulikua uchaw sababu hakuna uchaw na wala siamin uchaw kama upo
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadae itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala Kwan kila siku mambo yanazid kupamba moto
Video ya tukio la mosh io apo chin
Unatafutwa na polisi huku.
Wanaume tunaobebesha wanafunzi mimba tusishtakiwe, mtuache tulee watoto wetu
Habar wadau wa JamiForums Katika kuweka mazingira ya usawa Tanzania katika Sheria zetu ningeomba uwekwe usawa katika sheria ya Mimba na mwanafunzi na iwe yenye kutufaidisha wote isiwe na double standards ya kuiona Haki ya Mwanamke peke yake Bali sheria zetu ziundwe kwa mtindo wa asilimia hamsini...