kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Waliouwawa wakati wa utawala wake sio binadamu? Kila mtu atavuna alichopanda na malipo ni hapa hapa duniani.Mtaani JPM amefahamika kauwawa,
Mnakaa kwenye AC huku hamjui kinachoendelea sababu furaha yenu imepatkana mnasahau wananchi, sijui 2025 watawaangaliaje mtaani.