Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Pengine kwa kufanya hivyo kutafuta maneno ya mitandaoni
 
Tatizo lenu ninyi wanyonge mlipuuza shule!!
 
Basi, jibu kwa wanaotaka uchunguzi ufanyike umeshawapa kwamba wewe na genge ulijualo ndio mlitekeleza nji hiyo

#Serikali chunguzeni kupigwa risasi kwa TAL, Kifo cha BWM, JPM, Upoteaji wa BSN,AG, FILIKUNJOMBE nk.

Mbona kifo cha Edward Moringe Sokoine kilifanyika na Msauzi aitwaye DUBE kushitakiwa na kufungwa. Ila bado Kifo kilibaki utata kwa kuwa kulikuwa na jeraha kama la risasi nyuma ya kichwa chake.

Isingewezekana gari likagonge gari la tatu nyuma wakati kulikuwa na magari kwenye msafara wake tena ya usalama

Kuna kiongozi mkubwa wa chama tawala alitamka hadharani mwaka 2019 kwamba Edward Moringe Sokoine hakufa kwa ajali ila aliuwawa na waathirika wa kibano alichokuwa anawapa wahujumu uchumi miaka ya 1983-1984 ilikuwa ni shida.

Kuondoa utata kwa sasa na matukio mengine UCHUNGUZI ufanyike wakati wasaidizi wake, daktari, manesi na marafiki wa karibu wakiwa ndio mashahidi. Tume iwe ni kijaji ili matokeo yake kama kuna jinai yapelekwe moja kwa moja mahakamani hapo mchezo mtakuwa mmeumaliza kisomi sio hivi sasa vitisho vya kimamlaka viatengenezwa visasi visivyoisha.
HAPO SASA UMENENA. TUSIBAGUE WENGINE KWENYE UCHUNGUZI. HAPO NAKUUNGA MKONO. TUSIPOFANYA HIVYO ATAKUJA KUUMIZWA VIBAYA MTU MWINGINE MKUBWA NA SERIKALI IKITAKA KUUNDA TUME WATU WATAHOJI MBONA KWA FULANI HAMKUUNDA TUME? YAANI JPM ANGEUNDA TUME KUCHUNGUZA KUPINGWA RISASI KWA LISSU NA WALE WENGINE AKINA ARORY, SAANANE, N.K INGESHAUNDWA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHAKE MAPEMA SANA. LAKINI KWA VILE ALIPUUZA NDIYO MAANA KWA SASA HAKUNA ATAKAYE KUELEWA ETI TUME. TUNASHIKILIA KAULU YA SSH KWAMBA ALIKUWA ANAUMWA MOYO KWA ZAIDI YA MIAKA 10.
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Mwache aende zake kihivyo! wakati anaua wenzake kama kuku na kumpiga TAL tundu lisu risasi za kuua tembo alishauriwa iundwe tume ya kijaji kufanya uchunguzi akazima na kuendelea kuwaua wale waliompigia kelele. Huyu aliyekataza watu kumuona mgonjwa aliyemuumiza! Karma is always right!
 
Kwani Lissu kaanza kuomba uchunguzi leo au ndo mshale kwa nguruwe? Si mwendazake ndo alizuia haki ya Lissu kufanyiwa uchunguzi wa tukio lake? Tulia hivo hivo dawa ikuingie na ndo ujue malipo Ni hapa duniani na kwamba mla huliwa
Nadhani hata hujui nilichoongelea unakurupuka kuandika. Fatilia ujue nini kinaongelewa na kwnini. Si kuwashwa ukisikia tu Lisu basi unaandika bila kujua story imeanzia wp. Sasa upupu uloandika ndo dawa. Watu wengine. Think before you allow your mind to narrate on the issue or topic presented. Si kuja na vijineno ukajiona unamdomo mchafu. Matusi nayajua ila nafanya staha.
 
Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.

Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.

Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.

Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.

Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa

Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind

Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?

Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.

Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.

Video ya tukio la moshi hio apo chini.

Una akili nyembamba kama Bashiru.
Mbona Hayati alikuwa na ulinzi 1000%?.
 
Tume ya kuchunguza upya kifo cha Hayati Rais Magufuli na tume iwe huruna iongozwe na Dr Bashiru Ally Kakurwa.
 
Nadhani hata hujui nilichoongelea unakurupuka kuandika. Fatilia ujue nini kinaongelewa na kwnini. Si kuwashwa ukisikia tu Lisu basi unaandika bila kujua story imeanzia wp. Sasa upupu uloandika ndo dawa. Watu wengine. Think before you allow your mind to narrate on the issue or topic presented. Si kuja na vijineno ukajiona unamdomo mchafu. Matusi nayajua ila nafanya staha.
Think before you attack others also.
 
Nyinyi nyumbu wa veronica musiba mmeona mtufuate na humu mmeona fesibuku kwa wapumbavu wenzenu hakuwatoshi mnakuja na humu kwanza mod wa siku hizi mbona wana huruma sana yaan thread kama hizi zilikua hazimalizi dk 5 panga ishatembea
 
Back
Top Bottom