Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Pengine kwa kufanya hivyo kutafuta maneno ya mitandaoni
 
Tatizo lenu ninyi wanyonge mlipuuza shule!!
 
HAPO SASA UMENENA. TUSIBAGUE WENGINE KWENYE UCHUNGUZI. HAPO NAKUUNGA MKONO. TUSIPOFANYA HIVYO ATAKUJA KUUMIZWA VIBAYA MTU MWINGINE MKUBWA NA SERIKALI IKITAKA KUUNDA TUME WATU WATAHOJI MBONA KWA FULANI HAMKUUNDA TUME? YAANI JPM ANGEUNDA TUME KUCHUNGUZA KUPINGWA RISASI KWA LISSU NA WALE WENGINE AKINA ARORY, SAANANE, N.K INGESHAUNDWA TUME YA KUCHUNGUZA KIFO CHAKE MAPEMA SANA. LAKINI KWA VILE ALIPUUZA NDIYO MAANA KWA SASA HAKUNA ATAKAYE KUELEWA ETI TUME. TUNASHIKILIA KAULU YA SSH KWAMBA ALIKUWA ANAUMWA MOYO KWA ZAIDI YA MIAKA 10.
 
Mwache aende zake kihivyo! wakati anaua wenzake kama kuku na kumpiga TAL tundu lisu risasi za kuua tembo alishauriwa iundwe tume ya kijaji kufanya uchunguzi akazima na kuendelea kuwaua wale waliompigia kelele. Huyu aliyekataza watu kumuona mgonjwa aliyemuumiza! Karma is always right!
 
Kwani Lissu kaanza kuomba uchunguzi leo au ndo mshale kwa nguruwe? Si mwendazake ndo alizuia haki ya Lissu kufanyiwa uchunguzi wa tukio lake? Tulia hivo hivo dawa ikuingie na ndo ujue malipo Ni hapa duniani na kwamba mla huliwa
Nadhani hata hujui nilichoongelea unakurupuka kuandika. Fatilia ujue nini kinaongelewa na kwnini. Si kuwashwa ukisikia tu Lisu basi unaandika bila kujua story imeanzia wp. Sasa upupu uloandika ndo dawa. Watu wengine. Think before you allow your mind to narrate on the issue or topic presented. Si kuja na vijineno ukajiona unamdomo mchafu. Matusi nayajua ila nafanya staha.
 
Una akili nyembamba kama Bashiru.
Mbona Hayati alikuwa na ulinzi 1000%?.
 
Tume ya kuchunguza upya kifo cha Hayati Rais Magufuli na tume iwe huruna iongozwe na Dr Bashiru Ally Kakurwa.
 
Think before you attack others also.
 
Nyinyi nyumbu wa veronica musiba mmeona mtufuate na humu mmeona fesibuku kwa wapumbavu wenzenu hakuwatoshi mnakuja na humu kwanza mod wa siku hizi mbona wana huruma sana yaan thread kama hizi zilikua hazimalizi dk 5 panga ishatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…